Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Karibu mkuu, Leo hujabeti?Labda kama mnacheza na Biashara united
Naona ww ndio umebakwaKesho msitake tuwabakee aisee... wanaume tukifika panueni mapajaa wenyewee mkuyati uwahusuuuLasivyoo mtapata tabuu sanaaa... Yani mtajuta kutusumbuaa.. GGMU
Sent using Jamii Forums mobile app
VIP mmechukua point ngapmtatupa 3 points au tuzichukue kwa nguvu?
Waambie waje watambe tena,Huu Uzi ni wa man united nini.!
Nawaona fanboys wa manure wamejaa uku..
Wenyeji muko wapi? Au ndo mumeingia upepo..
Msiogope sana kesho mpo nyumbani ..Unai arelax nafasi ya kushinda mnayo ..
Sent using Jamii Forums mobile app
Tuzungumzie nn wakatMbona hamzungumzii kuifunga manchester?....sisi wageni tuwaelewe vipi?....please mods ufungeni huu uzi maana wenyeji wetu hatujui wapo wapi.
Bado watampa ila ajue arsenal sio wateja.Nyie watu munaroho mbaya kweli!![]()
Inamana muliposikia OGS anataka kukabidhiwa timu moja kwa moja ndiyo munamtilia nuhusi asikabidhiwe?
Kichapo ni kichapo tu wala hakunaga cha mara ya kwanza wala mwisho.Mara ya kwanza Ole Sendeka anachezea kichapo kwenye ligi?![]()
Nimeshangaa ile offside ni ya wp ktk soka, pia ile faulo aliyoicheza Ashley Young kwa mchezaji wa Arsenal haikuwa kadi nyekundu?Manutd walikuwa cocky sana.