msomi uchwara
JF-Expert Member
- Oct 17, 2017
- 4,694
- 8,809
Mashabiki wa hii timu wamekimbia kwao ..nimekutana nao kule kwenye jukwaa na mahusiano mapenzi na urafiki
Labda kama mnacheza na Biashara unitedUsije kukimbia tu mida ya saa tatu usiku baada ya matokeo. Yale matatu tuliyochukua Ufaransa tunawapa leo mkae nayo.
Hamna tofauti na simba wa sabasaba tunawashika hadi masharubuMateso mtakayokula leo ni historia
Sina iman na hao watu wa kati xhaka na nduguye ramsey ukzngatia nyuma kuna beki watatuOfficial
3-4-3
Afe kipa afe beki
Nyumbu atueleza leoView attachment 1042509
Sent using Jamii Forums mobile app
#coyg#
Karbu sana, unatumia kinywaji gan?