Masamila
JF-Expert Member
- Jun 22, 2014
- 6,505
- 7,465
Kikosi kilichopo ndio kikosi bora cha arsenal kakosekana bele tu leo unai kapanga hajafanya mapenzi
Sent using Jamii Forums mobile app
Amekosekana pia na Rob Holding
Kikosi kilichopo ndio kikosi bora cha arsenal kakosekana bele tu leo unai kapanga hajafanya mapenzi
Sent using Jamii Forums mobile app
Anajiiibu maombi (babaaa) anajiibu maombi.......... Haayaaaaa twende wote sasa.... View attachment 1042602
Sent using Unknown device






Maombi kwa Mungu kila siku hata ukicheza mechi za mchanganiAnajiiibu maombi (babaaa) anajiibu maombi.......... Haayaaaaa twende wote sasa.... View attachment 1042602
Sent using Unknown device
Ole sendeka alikuwa anaongea sana na kibendela,Hawa wanaochezesha hi mechi mbona Kama wana matokeo yao wanayoyataka ..NAONA KABISA WANATAKA KUIBEBA MAN
Sent using Jamii Forums mobile app


Nimeona eti nao wanacheza kama arsenal 3-4-3Wamebadilisha formation nyuma wanacheza watatu