Kwangu alikua Maitland-niles..
Japo Xhaka nae kacheza vizuri sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwangu alikua Maitland-niles..
Kwangu alikua Maitland-niles..
Japo Xhaka nae kacheza vizuri sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu FT hii bado hujapita nimekukumbusha tu lakini
Huyu dogo leo kaucheza mwingi sana, lakini xhaka ndo katubeba zaidi kwa kuwavuluga manyumbu hapo kati!.. Kwa kweli leo tumeupiga mwingi sana hapo katikatiKwangu alikua Maitland-niles..
Japo Xhaka nae kacheza vizuri sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu jamaa yako aliyeingia ghetto la wajeda mbona hatoki ,kaingia tangu sa1 na sasa ni sa 4:33
Mwakan nyumbu na tot futuhi inawahusukwani mnagombea nini msimu??
Kwa emirates watakula nyingi tuUshindi wa leo umetupa confidence ya kuwafunga nyingi wale Rennes waliobahatisha Last week.
Let's hope wachezaji wetu watakuwa fiti kupindua matokeo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Swala la kuongea kwa mashabiki haliepukiki au nyie huwa hamuongeagi? ni kawaida tu mkuu
Huyo unayemwita nyumbu atachukua uefa kwahiyo msimu ujao yupo kama kawaida GGMU
Duh natunza hii comment,Huyo unayemwita nyumbu atachukua uefa kwahiyo msimu ujao yupo kama kawaida GGMU
Hivi kumbe UNITED ikishinda inabebwa? acha mawazo hayo mkuu ni uwezo tu. GGMU
Mech ya PSG ni uwezo gani au unadhan hatukuiona hiyo mech?Hivi kumbe UNITED ikishinda inabebwa? acha mawazo hayo mkuu ni uwezo tu. GGMU