msomi uchwara
JF-Expert Member
- Oct 17, 2017
- 4,694
- 8,809
Kuna haja ya kuomba mods wafunge hili jukwaa..haiwezekani mwenyej ukimbie mji wako uwaache wageni
HahahahahahKuna haja ya kuomba mods wafunge hili jukwaa..haiwezekana mwenyej ukimbie mji wako uwaache wageni
Sisi tupo sana,pia naomba muendelee kuwepo humu hadi siku ya jumatatu ndipo tutahamia kwenu kuzika maiti yenuKuna haja ya kuomba mods wafunge hili jukwaa..haiwezekana mwenyej ukimbie mji wako uwaache wageni
Hahaaaaa mkuu, kesho goli tunawapa mnaenda nazo kijijini kwenu manchesterIla arsenal mna wivu sana, sisi tumepeleka goli 3 ufaransa, mkaenda nyie mkazichukua na kuzirudisha uingereza 😁😁
Sisi Man United tukiwafunga goli 6 bila Arsenal kesho tunachukua nafasi ya tatu!;Raha sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Nawaona mnavyopiga ramli tuNaomba nikusahihishe mkuu ata goli tano zinatosha
Sent from my iPhone using JamiiForums
Kesho anategemewa kumuweka kwapani RashfordMonreal kama kafungwa mafurushi ya mchanga miguuni next game apangwe sead kola and jenkison atleast alafu sid asipande kabisa
Mkuu wacha tujipe muda maana vijana wa man u kwa sasa huwezi kuwashinda kwa neno lololeHadi huruma aisee,wenye Uzi wao wapo kimya naona Man U mmetawala Uzi Wa watu....msiwatishe jamani mpira dk90....wanaweza wakawaduwaza hawa



Lasivyoo mtapata tabuu sanaaa... Yani mtajuta kutusumbuaa.. GGMUUsije kukimbia tu mida ya saa tatu usiku baada ya matokeo. Yale matatu tuliyochukua Ufaransa tunawapa leo mkae nayo.Mateso mtakayokula leo ni historia