Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Bado Nyie jumapili
20190307_032936_rmscr-2.jpeg
 
Hivi leo ndo ule usiku ambao game zao zinaonyeshwa Star tv??.. Aya kila la kheir wengine tutakua kwenye send off party za wapendwa zetu


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Man Utd kampiga PSG na kwenye vibanda umiza nyie ndio mligeuka kuwa washabiki wa PSG

Man kuifunga PSG ni psychological boost kwa United kuelekea kwenye mechi zijazo ikiwemo yenu

United ameonesha pamoja na kuwa na majeruhi wengi bado anaweza kutoa kichapo

Unfortunately for u, the next stop is at Emirates, your home we normally embarrass you

Sent using Jamii Forums mobile app

Mnabebwa na foolish referees who cannot interpret handball law
 
Back
Top Bottom