Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Aseno anapewa pounds 40m ya usajiri, Chelsea kafungiwa kusajiri eti mnataka kucheza champions league jamani si mtaenda kutia aibu tu huko.
 
Muda mbaya huu kila mtu apambane kivyake vyake Next game Emirates mshindwe wenyewe sasa.
 
Yani Mtu unaona kabisa mechi crucial Kama hiyo tena mda Kama ule na penati yenyewe umetunukiwa tu unapiga penati yakiunafunzi namna ile yani ni upuuzi sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni mpiga penati wa hovyo sana,nakumbuka wakati ule arsenal inawapiga penati majili,kina Denis,Henry,Nwanko,viela. Lakini penati alikuwa anapiga mcameroon Lauren

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahiyo wewe unategemea arsenal washinde!
Utaumwa kiharusi katika umri mdogo!

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama ww umeweza kutegemea matokeo yako utanizuia vp na mimi nisitegemee matokeo yangu ?

Manyau ni vibonde tu au umejisahaulisha game ya kwanza OT kilitaka kuwatokea nini .This time ni emirates ngoja ukakipate pate

YNWA



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom