Al assad
JF-Expert Member
- Aug 14, 2017
- 1,404
- 1,517
Iyo unazungumzia under mourinho !Kama ww umeweza kutegemea matokeo yako utanizuia vp na mimi nisitegemee matokeo yangu ?
Manyau ni vibonde tu au umejisahaulisha game ya kwanza OT kilitaka kuwatokea nini .This time ni emirates ngoja ukakipate pate
YNWA
Sent using Jamii Forums mobile app
Now no OG atakupigisha kwata kama alivyokupigisha swali!
Kwani mulipofungwa 3-1 ulikuwa uwanja gani?
Sent using Jamii Forums mobile app
