Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal ni timu ya Mashoga hata top 4 hatutapita naapia May tutafutane humu hatuna timu aisee na Unai ni kocha ambaye hamfikii hata nusu Mzee Wenger sema Mzee wetu mwishoni akili ilichoka ila ni kocha ambaye Unai hakupaswa kabisa kumrithi timu imekuwa mbovu mbovu naapa Mzee Wenger asingeweza kufungwa na BATE au RENNES kamwe hata kama akili ilichoka na pia ndo maana last season alifungwa tena kwa aggregate 2-1 na ATLETICO ila si vitimu vidogo kama hivi aisee ni dharau sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bora we unayeelewa kuliko anayetukana. Ujinga Kiakili ni m-baya sana
 
Back
Top Bottom