ARV
JF-Expert Member
- Sep 6, 2011
- 5,554
- 7,993
Sio kugawana tu point..na RED CARD JUU..na baadae Man U anampiga SOTON unashushwa nafasi ya 5 [emoji23][emoji23][emoji23]Tulikua tunaondoka na ushindi mzuri tu na kuweka point 3 kibindoni ila ndo yametokea hayo
Tumegawana point 1-1
Sent using Jamii Forums mobile app