OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,932
- 25,245
Mze baba ulitishaaaa..Hii mechi mmepigwa bana kwa upangaji huu wa kikosi
Hivi Iwobi ndio wa kumuweka benchi Ozil? Hapa ushindi wenu draw ila mpira dk 90 tutafunga mahesabu baadae
Of course Arsenal tunajua machungu mnayopitia maana timu za jiji la Manchester huwa zinawabamizaga sana.
Sasa ili kurudisha furaha yenu, next wikiend tutafanya maajabu pale etihad. Kama ilivyo leo, Aguero vs Arsenal ndivyo itakavyokuwa Higuain vs Man city.
Pamoja na wale fans kindak ndak wa looserfool, tunajua itakuwa ni furaha sana kwenu kwa sisi The bluez kushinda.
Sisi huwa tunagawa ubingwa tu, hata Leicester tulimpa ubingwa baada ya kumzuia Tottenham...
Sent using Jamii Forums mobile app
Uyo Aguero tunamwekea Rudger, ukimshika uyo hakuna Man city tena..Wacha Mbwembwe Huna Uwezo wa Kumfunga City Etihad.
Nakuhakikishia unaenda kupigwa 3 mzuka
Tofauti za point zitampa presha Klopp maana yeye ni bingwa wa kufeli Dakika za mwisho..Kesho hata tupigwe goli 200 - 0 Bado tutaoongoza Ligi.
Tofauti za point zitampa presha Klopp maana yeye ni bingwa wa kufeli Dakika za mwisho..
Sent using Jamii Forums mobile app
Uyo uyo Bournemouth kachezea mbili kavu leo. Mpira hauna maajabu mkuuMkuu naona umepata fahamu,pole kwa yaliyokukuta. Bournemouth hawana adabu kabisa.
Uyo uyo Bournemouth kachezea mbili kavu leo. Mpira hauna maajabu mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaaaaan huyi jamaa alipotea/disappear toka mid ame reappear Jana......Mkuu naona umepata fahamu,pole kwa yaliyokukuta. Bournemouth hawana adabu kabisa.
Mkuu mbona mnateseka na Arsenal?
Kila mtu ashinde mechi zake, acheni kutubebesha mizigo yenu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Na wewe ukamwamini kwa alichokitamka. Liverpool ambayo haifungi isimsumbue arsenal imsumbue..Yote yanawezekana hata yeye anajua sisi wa moto na game zetu na yeye huwa nyingi anabebwa sana na marefaree.
Guardiola mwenyewe katamka wazi kuwa arsenal ndo timu pekee England inayomsumbua ingawaje hushinda.
Sent using Jamii Forums mobile app