21 February
JF-Expert Member
- May 19, 2017
- 3,303
- 2,853
yani wewe jamaa unatia huruma kweli katimu kako kakifungwa unakua mdogo kama piriton.
Mbele ya Higuain kuna timu ita survive?Kinachokusumbua ni kitukimoja tu! Hujataka kuamini kuwa Top Four aningia Man United...
Chelsea hawezi kumaliza ndani ya Top Four.
Na kama huamini subiri baada ya michezo Minne tu ujue nafasi yako ilipo.
Kwahiyo kule Italy Juventus,Napoli,Roma,Milan zote zimesharest in piece?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] baada ya kuchukua icardi mnachukua mizigo ambayo imekosa namba kwa Mario mandzukic pale juve mpaka wakaliloan kule Milan na bado halina maajabu hahahahahahahahahaha[emoji349] [emoji349] [emoji349] [emoji349] [emoji349] [emoji125] [emoji125]
No research no right to talk! Game ya kwanza ya ligi asea-anal kabanjuliwa hapo hapo emirates, kwaio wewe sio wa kwanzaSo far United ndio timu iliyoshinda mara nyingi zaidi dhidi ya Arsenal pale Emirates (mara 6)
So far Arsenal ilikuwa haijapigwa Emirates msimu huu na timu yoyote, jana United kamnyoosha
Tunapowaambia Arsenal ni sawa na mtalaka wa United, na United akitaka mambo muda wowote anapewa muwe mnatuelewa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mnapenda vya bure nyie mnamabeki wawili wa free
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu kama hatuna pesa tukaibe?Mnapenda vya bure nyie mnamabeki wawili wa free
Fat joe? Hadi ac milan wanaachia kwa mkopo kuna nini hapo?
[emoji23][emoji23][emoji23] ila yule kolasinic bek la bure linapiga kazi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu kama hatuna pesa tukaibe?
Na hapo hatujasema kwamba hatutalipa maana ni mkopo huo,mtuoneage na huruma khaaaaaa[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimecheka sana nilipomuona bakayoko juzi anakipiga na juve hahahahahahahahaha. ......Fat joe? Hadi ac milan wanaachia kwa mkopo kuna nini hapo?
Kwanza naona wanawafanyizia kama mlivyowafanyizia kwa bakayoko
Mkuu wa bure ni bora kuliko wa loan ila kwa babu lichtstainer juve malipo yao hapahapa duniani[emoji23][emoji23][emoji23] ila yule kolasinic bek la bure linapiga kazi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sasa kipindi hicho hakuna offaide kwanini wewe ulikuwa hushindi bila ya offside?
Au ulikuwa peke yako ndiyo unatungiwa sheria hiyo ya offside lakini wengine hawana sheria ya offside?
Hahahaha asee we jamaa dah[emoji16][emoji16][emoji16]Nyie takataka hamna kitu kabisa. Najiuliza hivi mulitupigaje mbili.? Uko nyumbani unakazwa bao tatu..!!
Kweli sasa Arsenal umekuwa mke halali wa Man united, nimeamin hata Man u iwe mbovu kiasi gani wewe huwezi shinda mbele yake..
Yani mnaiaibisha London, ña bado una gemu naye tena apo apo emirates ..kama kawaida utafurukuta lakin baadae utalainika..
Pumbavu kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app