Robidinyo
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 4,069
- 8,749
Kuhusu Ozil, Ramsay na Gunduz umeongea pumba Mzee, kama unampenda Unai we Mpende tu sa ulitaka Ozil afanye nini kwa Mda ule, ana mda gani ajacheza,. Gunduz toka aanze kucheza kafanya lipi la maana game 20+ No Asst No Goal.. Sema Unai kashindwa kumtumia Ozil na si kuanza kumdis ozil kwa dk chache alizochezaTimu yetu inacheza vizuri Hadi inatisha wapinzani. Kama ni INJURIES ase huyu kocha wetu huwa anapata wakati mgumu sana kujua afanye nini. COZ injury tunazopata imekua ni moja ya maisha yetu.
Any way juzi tumefungwa na MAN UTD kwenye mechi muhimu FA CUP Tena tukiwa Nyumbani.
SHIDA YETU SIO MWALIMU WALA NANI. WACHEZAJI KWA 98% WANAENDA KUFANYA KILE WALICHOAGIZWA KUFANYA.
SOKRATIS anaumia anaingia MUSTAFI kitu ambacho mwalimu hakutaka kiwe. Hivyo hivyo Kwa KOSCIENLY anaumizwa vibaya inabidi kocha afanye substitution ambazo hakutaka afanye.
ANAMUINGIZA GUENDOUZ SABABU TULIKUWA NYUMA NA KIMPIRA TULIWAZIDI. NA TULIHITAJI KUSAWAZISHA
Kama ni ISSUE ya AUBAMEYANG NA LACCAZETTE kama nyie mlivyokuwa mkitaka waanze kwa pamoja cku hizi wanaanza na bado tunafungwa.
Kama ni issue ya MESUT OZIL kucheza hiyo cku alicheza Na tulifungwa. Kama ni issue ya ARON RAMSEY nae halikadharika.
WENGI WETU TULIKUWA TUKIONGEA MANENO MABAYA KUHUSU GUENDOUZ NA IMEKUWA KAWAIDA YETU. LAKINI JUZI ALIINGIA TUSHAFUNGWA.
Now tumebaki kumshauri EMERY afanye hiki hichi hasifanye. Kwanini tusipewe timu sisi kama ni kazi rahisi.
Timu yangu ilicheza vizuri sana lakini tulikosa mipango. Mashot tulipiga na mpira tulimiliki bahati ilikuwa kwao .
SASA WEWE UNAMLAUMU EMERY KWA KIPI ULITAKA AKAFUNGE YEYE.
TUMLAUMU KOCHA KWENYE USAJIRI TU LAKINI SIO KWA MATOKEO ANAYOPATA UWANJANI. KWANI YEYE ANAPANGA KIKOSI KIENDE KIKASHINDE NA SIO KIKAFUNGWE
TIMU YETU INAHITAJI USAJIRI MZITO HII.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app