Unamlaumu nini mwenzio wakat kwako ulipigania droo?? Makocha wako walikimbia uwanja mzima kama ligi imeisha kumbe ni mechi ya 10 tu usiombe unaswe na manchester united ulisubir hadi dakika ya 96 na sekunde kadhaa huko ulishakufaNyie takataka hamna kitu kabisa. Najiuliza hivi mulitupigaje mbili.? Uko nyumbani unakazwa bao tatu..!!
Kweli sasa Arsenal umekuwa mke halali wa Man united, nimeamin hata Man u iwe mbovu kiasi gani wewe huwezi shinda mbele yake..
Yani mnaiaibisha London, ña bado una gemu naye tena apo apo emirates ..kama kawaida utafurukuta lakin baadae utalainika..
Pumbavu kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
So far United ndio timu iliyoshinda mara nyingi zaidi dhidi ya Arsenal pale Emirates (mara 6)
So far Arsenal ilikuwa haijapigwa Emirates msimu huu na timu yoyote, jana United kamnyoosha
Tunapowaambia Arsenal ni sawa na mtalaka wa United, na United akitaka mambo muda wowote anapewa muwe mnatuelewa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kafungwa mechi nyingi nyumban anamaanisha chelsea kashinda mara 5 united mara 6Alipigwa 2 - 0 kwenye uwanja wa Emirates na Man City katika mechi yake ya ufunguzi ya EPL tarehe 12/08/2018
Mkuu Arsenal ni kikundi cha wauza njegere tu timu imeshakufa kitamboNyie takataka hamna kitu kabisa. Najiuliza hivi mulitupigaje mbili.? Uko nyumbani unakazwa bao tatu..!!
Kweli sasa Arsenal umekuwa mke halali wa Man united, nimeamin hata Man u iwe mbovu kiasi gani wewe huwezi shinda mbele yake..
Yani mnaiaibisha London, ña bado una gemu naye tena apo apo emirates ..kama kawaida utafurukuta lakin baadae utalainika..
Pumbavu kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unamlaumu nini mwenzio wakat kwako ulipigania droo?? Makocha wako walikimbia uwanja mzima kama ligi imeisha kumbe ni mechi ya 10 tu usiombe unaswe na manchester united ulisubir hadi dakika ya 96 na sekunde kadhaa huko ulishakufa
Jana jamaa kama angekuwa mourinho tumepiga zile 2 angemuingiza fellainMulitukosea Sana sisi Washabiki wa Mpira kumfukuza Mourinho kabla ya Mechi yetu ya Man U vs Liverpool..
Uwepo wa Mourinho tulikuwa tunauhakika wa kuchukua points 3 za OT coz Martial, Pogba, Rashford wangeliishia kuiangalia game kwenye Jukwaa huku tukipambana na kina Fellaini na Lukaku.
Duh ile kauli ya muda ni hakimu mzuri naiona hapaLeo ni mwendo wa engineer (man u) soma iyooooooo!!!
Ars 1 vs man u O
Engineer (man u) soma iyooooo
Ars 2 vs man O
Sent using Jamii Forums mobile app
Unamlaumu nini mwenzio wakat kwako ulipigania droo?? Makocha wako walikimbia uwanja mzima kama ligi imeisha kumbe ni mechi ya 10 tu usiombe unaswe na manchester united ulisubir hadi dakika ya 96 na sekunde kadhaa huko ulishakufa
Washabiki wote wa soka juu ya uso wa dunia, naombeni radhi kwa kauli hiyoLeo ni mwendo wa engineer (man u) soma iyooooooo!!!
Ars 1 vs man u O
Engineer (man u) soma iyooooo
Ars 2 vs man O
Sent using Jamii Forums mobile app
Mpuuzi Mou nahisi alijua anafukuzwa akaamua kujifungisha. Jinga kabisa yuleMulitukosea Sana sisi Washabiki wa Mpira kumfukuza Mourinho kabla ya Mechi yetu ya Man U vs Liverpool..
Uwepo wa Mourinho tulikuwa tunauhakika wa kuchukua points 3 za OT coz Martial, Pogba, Rashford wangeliishia kuiangalia game kwenye Jukwaa huku tukipambana na kina Fellaini na Lukaku.
Hahahaa mumesahau juzi kati kuna timu iliwafukuzisha kocha wenu..Manchester United tutawafukuzisha makocha wengi mwaka huu...
Peleka salamu Pale Stamford Bridge kawaambie yule mvuta fegi tutamuondoa sisi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha kama alijua vile...Repeat again!
Sasa ulikusudia Utakula au Utaliwa hizo fimbo 3?
Hahaha katika timu ambazo hazinipi presha wala wasi wasi ni Manure..Unamlaumu nini mwenzio wakat kwako ulipigania droo?? Makocha wako walikimbia uwanja mzima kama ligi imeisha kumbe ni mechi ya 10 tu usiombe unaswe na manchester united ulisubir hadi dakika ya 96 na sekunde kadhaa huko ulishakufa