Mpini Wa Chuma
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 1,729
- 1,325
Daah kiukweli huyu mtu ni muhim sanaKwaher sven
Tutakukumbuka kwa kutuletea
TOREIRA
MATEO
DINO
SOKRATIS
LENO
View attachment 1001212
Sent using Jamii Forums mobile app
Daah kiukweli huyu mtu ni muhim sanaKwaher sven
Tutakukumbuka kwa kutuletea
TOREIRA
MATEO
DINO
SOKRATIS
LENO
View attachment 1001212
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu mshikaji taarifa ambazo mimi ninazo ni kwamba walipishana kauli na unai emery na bwana Raul sanhelDaah kiukweli huyu mtu ni muhim sana
Suarez mwili Barca, moyo upo Arsenal
Suarez amejiona tayari kama ameshatua Arsenal baada ya kushindwa kuficha mapenzi yake wakati alipoonekana kama vile ameungana na Washika Bunduki hao kushangilia ushindi waliopata mbele ya Chelsea kwenye Ligi Kuu England juzi Jumamosi.
ISHU ya Denis Suarez basi tu Arsenal imeamua kujichelewesha yenyewe. Unaambiwa hivi, staa huyo wa Kihispaniola kwa sasa mwili tu ndio upo Barcelona, lakini akili na moyo wake upo kwenye mpango wa kuhamia Arsenal akakipige kwenye Ligi Kuu England sambamba na washambuliaji matata, Pierre-Emerick Aubameyang na Alexandre Lacazette.
Ripoti zinadai Arsenal inataka kulipa Pauni 1.7 milioni ili kumchukua Suarez kwa mkopo kwanza kwa makubaliano ya kulipa Pauni 17.5 milioni mwishoni mwa msimu ili kumbeba jumla mchezaji huyo.
Dili hilo bado halijakamilika na kinachoonekana ni Arsenal yenyewe tu ndio inayojichelewesha, lakini mchezaji mwenyewe yupo tayari kwenda kuungana na wenzake kufanya kweli kwenye mchakamchaka wa kuhakikisha timu hiyo inamaliza msimu ikiwa ndani ya Top Four.
Suarez amejiona tayari kama ameshatua Arsenal baada ya kushindwa kuficha mapenzi yake wakati alipoonekana kama vile ameungana na Washika Bunduki hao kushangilia ushindi waliopata mbele ya Chelsea kwenye Ligi Kuu England juzi Jumamosi.
Kikosi hicho cha Kocha Unai Emery kiliichapa Chelsea 2-0 shukrani kwa mabao ya Lacazette na beki wa kati, Laurent Koscielny.
Ligi Kuu England ilituma picha za wafungaji hao wa mabao ya Arsenal kwenye ukurasa wake wa Instagram na Suarez hakutaka kujivunga na kubonyeza kitufe kilichoandikwa ‘like’ ikiwa na maana amesapoti ushindi iliyopata timu hiyo ambayo inahusishwa na mpango wa kumsajili.
View attachment 1001500
Sent using Jamii Forums mobile app
Alisema wapi, au ulibaka taarifaMnakuaga na unafiki fulani...juz huyu kocha wenu alisemaje? C alisema hasikiii harufu ya damu mpya?
Kwa arsenal yetu ya ubahili huyu mtu alikuwa muhimu zaidi ya neno muhimu lenyewe..*Milsintat final words*
"It's been an amazing experience to work at a great club like Arsenal in what has been a big time of change," said Milsintat in a statement posted to the official Arsenal website .
"I am excited about what the future holds for the club and am looking forward to new challenges for myselfView attachment 1001347
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja tumuone monchi mie kwangu sven ni bora zaidi hajabase kwa wachezaji wa jamii fulan so kwake ni rahisi zaidi kuliko monchi kujisemea wamakonde, monchi kunogewa na wamarekani wa kusiniArsenal in the frame to take Monchi from Roma as a replacement for Sven @bbcsport_david
MONCHI NI MSHKAJI WAKE SANA EMERY, ndio walifanya kazi wote pale Sevilla, wanapenda sana wachezaj wa kiamerica,
Ujio wa monch itakuwa bonge la dili,
Sasa ndio nathibitisha KUONDOKA KWA SVEN, ni ugomvi wake na Emery na Raul,
Sven ana misimamo yake , tofaut na hawa wahispaniola EMERY NA RAUL,hataki kukubaliana nao,
Sent using Jamii Forums mobile app
Matteo Ni bonge la player kiukweli kabisa akija kukomaa vizur atakuwa moja kati ya viungo bora duniani km ataendelea hiv na majeruhi kumpitia mbali."I don’t care what anyone says, I love Guendouzi. I think he is a fantastic player and he’s somebody that the spirit of Arsenal is in him already."
- Ian Wright on Matteo Guendouzi
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio mwisho wa Gunners ilikuwepo kabla ya yeye kuwepo na itaendelea kuwepo pia,
Hujaelewa alichokisema labda lugha ilikuwa tatizo kwako,alisema kuwa HAKUNA FEDHA KWA AJILI YA USAJILI DIRISHA HILI, ILA MKOPO TUMnakuaga na unafiki fulani...juz huyu kocha wenu alisemaje? C alisema hasikiii harufu ya damu mpya?
So sad.Inauma kwa hisia wana arsenalView attachment 1002318View attachment 1002319
Sent using Jamii Forums mobile app