Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Mbona unabaka comment mkuu, hapo nimeongelea kombe au london derby ?Kwa hiyo ndo kombe linapatikana london derby?
London is red,
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona unabaka comment mkuu, hapo nimeongelea kombe au london derby ?Kwa hiyo ndo kombe linapatikana london derby?
Ijumaa namrudisha tunduni subir uoneMatokeo ya jana yamemfufua.
Huyu maneno ni mengi sana.
Hahahahaha haya bana.Mbona unabaka comment mkuu, hapo nimeongelea kombe au london derby ?
London is red,
Sent using Jamii Forums mobile app
Japo sina uefa ila ukitaja timu katika mlolongo wake pale uingereza Chelsea tot wako chini yangu tuu...Mzee hamna hata uefa wala europa mnakuwaje wababe mbele ya chelsea?
Ubabe sio kuwa na uefa,Mzee hamna hata uefa wala europa mnakuwaje wababe mbele ya chelsea?
Haya pamoja mkuu nilikuwa nakutania kwa mafanikio ya ndani ligi kuu ya uingereza arsenal yupo juu ya hizo timu.Japo sina uefa ila ukitaja timu katika mlolongo wake pale uingereza Chelsea tot wako chini yangu tuu...
Huna timu ya kunifunga ,Ijumaa namrudisha tunduni subir uone
Mm nipo daily,Matokeo ya jana yamemfufua.
Huyu maneno ni mengi sana.
Nilikuwa namtania tu si unajua mpira najua arsenal kwa mafanikio ndani ya epl yupo juu kwa timu za london.Ubabe sio kuwa na uefa,
Hapo hapo london, northgam ana uefa, lkn ni small team
London ni arsenal,
Idad ya mataji ya timu za london ukijimlisha hayafikii idad ya mataj ya arsenal
Unapozungumzia london unaizungumzia arsenal
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa toreira utamfananisha na mzigo ule fred,Siku hizi ameacha kuzurula na kapicha ka torreira vichapo noma sana
Yaan leo umekuja kuleta vurugu tu huku, haya bhana,Nilikuwa namtania tu si unajua mpira najua arsenal kwa mafanikio ndani ya epl yupo juu kwa timu za london.
Timu yetu ndivyo ilivyo hata nnapokufungaga huwa mpira mzur anacheza arsenal point 3 huwa zinaenda old trafford ipo hivyo nafikir ukumbuka last season save za david de gea unakula chuma 3 mpira ulikuwa kwako magoli na point 3 kwetu.
Chelsea ,tot hizi timu ni za msimu, tot hana miaka mitatu mbele ya kuwa mshindan,Japo sina uefa ila ukitaja timu katika mlolongo wake pale uingereza Chelsea tot wako chini yangu tuu...
Mkuu mpira ni utani na furaha ivo yani tunafurahi na kuhuzunika ule ni utani mpira dakika 90 hamna mwenye uhakika wa kushindaYaan leo umekuja kuleta vurugu tu huku, haya bhana,
Mm ijumaa nakuja kwenye uzi wenu kuwasumbuen, maana ijumaa lazima tuwandandike, tumeshapata momentum kutoka kwa chelsea ya kuwaangamiza nyie
Sent using Jamii Forums mobile app
Juz hapo hapo OT umetokea tundu la sindanoTimu yetu ndivyo ilivyo hata nnapokufungaga huwa mpira mzur anacheza arsenal point 3 huwa zinaenda old trafford ipo hivyo nafikir ukumbuka last season save za david de gea unakula chuma 3 mpira ulikuwa kwako magoli na point 3 kwetu.
Fred bonge la mtu hajachezeshwa na sosha mech za karibuni matatizo ya kifamilia mke wake kujifungua hata dubai hakwenda alipewa ruhusa alikosa mazoezi.Sasa toreira utamfananisha na mzigo ule fred,
Mpangen ijumaa muone shughul yake
Kawaulize chelsea jana habar za toreira
Au subir ijumaa emirates nakunyoosha
Sent using Jamii Forums mobile app
Ujue timu nzur hushinda kwa namna yoyote huhitaji kucheza vizur kuondoka na point 3 vile tunacheza kuna kitu tuna prove kushinda 1-0 sio mchezo kwa timu kama spurs na ukaulinda ushind wako vipind vyote nakubali defence haipo poa ila kwa sasa sio wepesiJuz hapo hapo OT umetokea tundu la sindano
Linapokuja swala la FA hata hapo OT nakunyoosha, hata fainal utachezea tu,
Siunakumbuka welbek anawaua hapo hapo OT , robo fainal FA
Msipige kelele man u, timu yenu inashinda lkn bado defencive mnaruhusu kushambuliwa,
Shauri yenu, ijumaa utaniambia
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa si michael oliver alileta ukichaa wake wa kumpa umeme di mariaJuz hapo hapo OT umetokea tundu la sindano
Linapokuja swala la FA hata hapo OT nakunyoosha, hata fainal utachezea tu,
Siunakumbuka welbek anawaua hapo hapo OT , robo fainal FA
Msipige kelele man u, timu yenu inashinda lkn bado defencive mnaruhusu kushambuliwa,
Shauri yenu, ijumaa utaniambia
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo umeongea ukweli, lkn siokila siku degea atawaokoaUjue timu nzur hushinda kwa namna yoyote huhitaji kucheza vizur kuondoka na point 3 vile tunacheza kuna kitu tuna prove kushinda 1-0 sio mchezo kwa timu kama spurs na ukaulinda ushind wako vipind vyote nakubali defence haipo poa ila kwa sasa sio wepesi
Atacheza romero itakuwa vigumu kutomchezesha kwanza si vizur tuna makipa wa 3 wote wanatakiwa kucheza mabadiliko lazimaHapo umeongea ukweli, lkn siokila siku degea atawaokoa
Na game ijumaa OGS asijiroge kumpiga bench degea
Sent using Jamii Forums mobile app