Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Tetesi-Arsenal yatuma maombi ya kumsajili Gelson Martins

Wakati zikiwa zimebaki siku 10 kufikia tamati kwa dirisha hili la usajili, timu ya Arsenal imehusishwa na usajili wa winga wa Atletico Madrid Gelson Martins.
Kocha wa Arsenal Unai Emery yupo sokoni kutafuta wachezaji wa kukiimalisha kikosi chake hasa kwa upande wa mawinga na mabeki wa kati lakini kutokana na Arsenal kutokuwa na pesa za kufanya usajili kazi hiyo imekuwa ngumu maradufu kwani kwa sasa Arsenal inaweza kusajili kwa mkopo tu.
Gazeti maarufu la soka la Ureno O Jogo limeandika ya kwamba Arsenal imetuma rasmi maombi ya kumsajili mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 23.
Gelson Martins aliwasili katika timu ya Atletico Madrid msimu uliopita, lakini ameshindwa kuwika katika kikosi cha Diego Simeone kiasi cha kukosa namba ya kudumu katika kikosi cha kwanza.
Inasemekana ya kwamba Atletico Madrid wapo tayari kumuachia mchezaji huyo kwa mkopo ili kumpisha Alvaro Morata ambaye wapo mbioni kumsajili kutoka Chelsea.
Iwapo mpango huo utafanikiwa Arsenal itamsajili mchezaji huyo kwa mkopo wa miezi 6 na kama atafanya vizuri wana mpango wa kumsajili moja kwa moja.
Wakati tetesi hizo za Martins zikipamba moto taarifa nyingine ni kwamba Arsenal imeshaafikiana na Barcelona kuhusu usajili wa Denis Suarez na bado mambo madogo madogo yanayokwamisha kutangazwa kwa usajili huo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
No no noo brother Giroud hawez kuongea hiv hata kama bado ana mapenzi na timu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Usikatae inawezekana, hukuona alivyoshangiliwa na mashabiki kwa furaha alipokuwa akijiandaa kuingia.Giroud ni konki pale kakaa muda.
Imagine thierry Henry alipoenda Barca ikiwa anacheza na arsenal kitu fulani kilipungua.

Chief, sijapinga kushangiliwa kwake ila Giroud kama professional player tena akiwa na mkataba hai na chelsea hawezi kusema maneno kama haya "I can never play well against arsenal...... i made few passes to arsenal players cuz i still feel part of the team".
Naomba nisaidiwe link ya hayo mahojiano.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ifike muda sasa Unai ajilipue kama ilivyo kuwa kwa Van gal.

Nakumbuka Van gal alipo ona wakina RVP na Roney hawana msaada akaamua kuwaibua wakina Rashford.

Kama ameweza kumsajiri na kumuamini Guadouz kwanini asifos kuwaamini wakina Saka!!?

Nakumbuka mwaka ambao Sagna ameondoka na Debuch akapata injury huku Jenko nae akiwa wodini bado ndo hapo Wenger alipo muibua Belle

Hata sasa madogo wanapata nafasi sana kwa Emery.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bado tunasumbuana na Barca, wanataka kutufanyia ,umafia, ila taarifa iliyotoka inasema Tunafoc tena ,taarifa kutoka kwa Belague inasema tumeshindwana, ila bado tunapambana tusishikishwe

Arsenal sio wajinga aisee Barca walituwekea condition ya kumchukua Denis Suarez kwa mkopo halafu summer tuje tumnunue kwa €20M-€25M kitu ambacho

Arsenal wameona ni kama Barca wanataka kuwaongezea hela kwenye matumizi yao waliyopanga kuyafanya summer
Mimi kwenye hili nipo pamoja na Arsenal yaan mchezaji abakishe mwaka 1 kwenye mkataba wake halafu tulazimishane kumnunua kwa bei mnayotaka nyinyi....Hii biashara watakaofanya ni vichaa pekee yake
IMG-20190123-WA0008.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bado tunasumbuana na Barca, wanataka kutufanyia ,umafia, ila taarifa iliyotoka inasema Tunafoc tena ,taarifa kutoka kwa Belague inasema tumeshindwana, ila bado tunapambana tusishikishwe

Arsenal sio wajinga aisee Barca walituwekea condition ya kumchukua Denis Suarez kwa mkopo halafu summer tuje tumnunue kwa €20M-€25M kitu ambacho

Arsenal wameona ni kama Barca wanataka kuwaongezea hela kwenye matumizi yao waliyopanga kuyafanya summer
Mimi kwenye hili nipo pamoja na Arsenal yaan mchezaji abakishe mwaka 1 kwenye mkataba wake halafu tulazimishane kumnunua kwa bei mnayotaka nyinyi....Hii biashara watakaofanya ni vichaa pekee yakeView attachment 1002733

Sent using Jamii Forums mobile app
Timu bahili hii wapare wanasubiri aisee, hadi hasira.
 
PRESS CONFERENCE
'We want to sign one or two players to help'
Rob Kelly 23 Jan 2019
Unai Emery
With little over a week left of the January transfer window, what is the latest on our efforts to add to our squad?

Unai Emery was asked about his plans during Wednesday’s press conference and how Sven Mislintat’s imminent departure impacts upon that.

This is what he said:

on transfers…
The club continues to work on that. It's difficult, you know, but I am working with our players and I think we need - and we can - sign some players to help after our injuries like Rob Holding, like Welbeck, like Hector Bellerin. But we can play with the players we have now and the same message is to you and every supporter, we only want to sign one or two players who can really help us with good performances. The club is working. They know our intentions, our possibilities for signing players that can help us, but they work and also with communication to us.
IMG-20190123-WA0010.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Timu bahili hii wapare wanasubiri aisee, hadi hasira.
...Barcelona wanaforce kutuuzia kabisa baada ya mkopo ambapo arsenal wanatakiwa kulipa 20-25 kwa mchezaji kama yule na atakuwa kabakiza mwaka mmoja katika mkataba wake ....

Hii biashara bora ife kabisa na ife kama ilivyokufa maana tutaibiwa live tunaona

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani huyo mchezaji sio mzuri?
Kusema ukweli ni Average player

Labda aje awe mzur zaid akija arsenal ,

Sasa hapo ni 50/50 ,na ni injury prone , sasa barca wanatulazimisha watukopeshe ila summer tumnunue kwa lazima, ndio kitu arsenal hawataki kuingia mkenge

Maana summer tunahitaj kuleta watu ,sasa tununue mtu kwa 20-25 aliyebakiza mwaka mmoja , halafu haina uhakika kama ata perfom au atadumu maana ni majeruh kila mara

Arsenal hawataki kuingia hasara za kijinga tena, barca washakuwa wafanya biashara sasa hiv

Sasa mbona Emery anamng'ang'ania huyo dogo wakati Sven alikuwa na option nzuri zaidi?
 
Sasa mbona Emery anamng'ang'ania huyo dogo wakati Sven alikuwa na option nzuri zaidi?
Emery na Raul ndio wanamuhitaji ,ila barca ndio wanaweka ugumu, Kuna mawil anaweza akafanya vzr au akazingua, ndio maana arsenal nao wanajiweka kwenye mazingira yakutojifunga ili summer wasijikute wametumia hela nyingi,

Sven alikuwa na watu wake ambao emery na raul ni kama hawakuwaelewa, pia Sven na yeye hamuelewi denis ,

Mimi naona arsenal wapo sawa, leo emery kasema kuna watu wawili lazima waje

Kwahiyo barca wakibana poa tutageukia wengine, ila nikionacho arsenal wanasubir dk za mwisho inaonesha barca watalegea, hayo mashart yao ni magumu kwakweli,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa mbona Emery anamng'ang'ania huyo dogo wakati Sven alikuwa na option nzuri zaidi?
Wanachokitaka arsenal , iwapo kufikia summer hawataridhika na uwezo wa denis, basi arud zake barca

Na hiyo 20-25 tulete mwingine,

Sio kujifunga , kama watakavyo barca,ikifika summer haijalish denis kaifanyia nn arsenal tuwape chao

Hiyo ni biashara mbovu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom