Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Mm sina hofu, wewe utashushwa mtaa wa 7 kwa spid , bado huna ubavu wa kupambania top 4Ombea wolves apate majeruhi wiki ijayo unaanza kukonda tena una city
Unadhan hautadakwa hapo mbele? Ijumaa nakuvuruga
Then unaratiba tight hapo mbele,psg anaenda kukunyoosha , ukirud epl unapelekwa mtaa wa 7
Sent using Jamii Forums mobile app
