Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Game ya liverpool sisi tulikuwa wazi nyuma mapazia tu ndiyo maana mlijipitia, tuliweza kuanza kufunga lakini zikarudishwa .Imagine liverpool mngekutana na beki ya jana mngepitia wapi.
Chelsea ni timu bora na haijafungwa kizembe kama unavyodhani kwa game ya jana yeyote angefungwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahahah et bek ya jana sema chelsea ya sarri hamna kitu umenyonyolewa mech kibao na vitoto
 
Kwa kazi mliyofanya leo nawapa hongera sana.

Niliwadharau kiasi kuona hamtachomoka hii game.
Game za kushinda mbona zinaonekana, hiyo game ilishaonekana chelsea anakufa , dk 20 za kwanza tumempress ilitakiwa ale 3 za haraka

Bas tu alikaza

Hiyo game ilichagizwa na man u kushinda mchana ,ikatupa nafas ya kuhitaj matokeo kwa nguvu zote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Game za kushinda mbona zinaonekana, hiyo game ilishaonekana chelsea anakufa , dk 20 za kwanza tumempress ilitakiwa ale 3 za haraka

Bas tu alikaza

Hiyo game ilichagizwa na man u kushinda mchana ,ikatupa nafas ya kuhitaj matokeo kwa nguvu zote

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata man u angefungwa chelsea ya sasa hamna kitu kuanzia 8 had 11 ukiacha hazard hamna tena watu
 
Hata man u angefungwa chelsea ya sasa hamna kitu kuanzia 8 had 11 ukiacha hazard hamna tena watu
Mkuu utakutana nao, usiseme hivo, muheshimu chelsea usimchukulie poa kisa nimemfunga,

Dk 20 za kwanza nilikuwa namkabia juu, nampress, mpaka nilipopata matokeo ndio nikamuacha acheze,

Hajafungwa kibahat, kila game na approach yake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Game za kushinda mbona zinaonekana, hiyo game ilishaonekana chelsea anakufa , dk 20 za kwanza tumempress ilitakiwa ale 3 za haraka

Bas tu alikaza

Hiyo game ilichagizwa na man u kushinda mchana ,ikatupa nafas ya kuhitaj matokeo kwa nguvu zote

Sent using Jamii Forums mobile app

Wewe huwa uko unrealistic unapoizungumzia Arsenal.

Mdomoni kila timu unaifunga. Ila ikija uhalisia unajikuta unakula za uso mbele ya timu mbovu mbovu.
 
Mkuu utakutana nao, usiseme hivo, muheshimu chelsea usimchukulie poa kisa nimemfunga,

Dk 20 za kwanza nilikuwa namkabia juu, nampress, mpaka nilipopata matokeo ndio nikamuacha acheze,

Hajafungwa kibahat, kila game na approach yake

Sent using Jamii Forums mobile app
Chelsea kwake katokea dakika ya 96 na sekunde kazaa huko hamna kitu mule
 
Nafasi ya manyau ya kudum
1547970653757.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe huwa uko unrealistic unapoizungumzia Arsenal.

Mdomoni kila timu unaifunga. Ila ikija uhalisia unajikuta unakula za uso mbele ya timu mbovu mbovu.
Sikweli, game ya jana hata chiz alikuwa anajua chelsea anakufa

Toka mazoezin vijana walihitaj kushinda, ndio
Maana nakwambia dk 20 za mwanzo kairudie utaelewa kwann jana arsenal alikuwa lazima ashinde

Game ya kufungwa tunasema, mfano huyu manyumbu ijumaa ,anakufa , maana anapanda ovyo, na anashambulika sana,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yani Jana captain alikipiga sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Sana sana, tena TH alimtaka Monaco, Skipper akadai atabaki na kupigania namba yake, ila jana kila mchezaji alikuwa in top form, hata Auba (siku ilikuwa si yake ila alitakiwa kupata kagoli at at least)...
Swala watacheza hivyo hivyo mechi zijazo au watarudia maudhi yao ya nyuma?!
 
Back
Top Bottom