Vizuri sana mkuu ..muhimu Man united Asipande popote..
Sent using
Jamii Forums mobile app
Huyu muache apige kelele ,ujue epl ina tabia moja , na ukiijua bas hauna wasiwasi, huyu manyua ana game kama mbili hiv, ataanza kuchezea vipigo, then ataarud mtaa wa 7 kwa kasi ya SGR, amin ninachokwambia, hiki kipind cha mpito ktk epl huwa tunakipitia kila timu,
Ukiwa unakivuka vzr bas unakuwa na sifa ya ubingwa, ndio kinachomtokea liver ,angalia game na brighton, na c palace ,anazivuka kiwiziwiz tu,
Soon ,man u atakutana na arsenal FA CUP, chelsea ,man city, psg home and away, akili itamkaa sawa,
Atarud mtaa wa 6 kwa gape la point 6,
Hizi kelele zitaisha, maana timu yao inapata matokeo lkn bado inaudhaifu, inashambulika kirahisi sana, na lile zali alilopata kwa tot ,hatalipata kila siku
Kwasasa tot hana kane na son, huu ndio muda wa kumleta huku chini, tupitilize kule juu
This is EPL ,ubingwa tumuachie city na liver
Sent using
Jamii Forums mobile app