DullyJr
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 13,993
- 11,870
Haya nilikwambia home team 3+ sasa kachukue mpunga wako...this is gunners
Sent using Jamii Forums mobile app
Haya nilikwambia home team 3+ sasa kachukue mpunga wako...this is gunners
Holding kuna wachezaji alikuwa amewafichia udhaifu wao, maana ndiye mchezaji pekee wa nyuma mwenye speed ya kukaba na kukimbiaMi kwa maoni yangu we have good players kinachohitajika ni seriousness na consistence .
Halafu pia game hubadilika sio kila wakati mambo yatakua sawa. Pia hii timu yetu majeruhi ni wengi tena ni wale wachezaji wa kutegemewa kama Holding, Belarin, Monreal, koscienlny amerudi juzi. Wachezaji wajitahidi tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo maana tunaruhusu kamba kila mechiHolding kuna wachezaji alikuwa amewafichia udhaifu wao, maana ndiye mchezaji pekee wa nyuma mwenye speed ya kukaba na kukimbia
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeongea kama mtu anayeujua mpira. Kwenye game kubwa tuliweka wachezaji wa kikosi b ambao wanetoka maheruhi ilikuwa ngumu.Mi kwa maoni yangu we have good players kinachohitajika ni seriousness na consistence .
Halafu pia game hubadilika sio kila wakati mambo yatakua sawa. Pia hii timu yetu majeruhi ni wengi tena ni wale wachezaji wa kutegemewa kama Holding, Belarin, Monreal, koscienlny amerudi juzi. Wachezaji wajitahidi tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukitukanwa sana lazima ufanye hivyo, inaonekana wao wana nguvu sana kwa sasa wakati kwanza hawajawahi kutupiga 6 wala 8.
Ukitukanwa sana lazima ufanye hivyo, inaonekana wao wana nguvu sana kwa sasa wakati kwanza hawajawahi kutupiga 6 wala 8.
Sent using Jamii Forums mobile app
Dirisha la usajili limefunguliwa toka jana. Je Arsenal itamsajili nani?
Mpaka sasa haijajulikana nani na nani atasajiliwa. Emery mwenyewe jana kaulizwa kuhusu usajili akasema ni vigumu kusajili mchezaji mzuri January ingawa viongozi wanafanya kazi kwa bidii na mazungumzo yalikwishaanza kwa baadhi ya wachezaji. Pia alisema atasajili mchezaji mmoja au wawili. Alipoulizwa kuhusu Cahill, Emery alisema hawajaongea kuhusu Cahill.
Kwa maoni yangu, sitashangaa tukisajili mchezaji mmoja tu halafu msimu ujao usajili mkubwa tukasajili wengi. Hii ni kwasababu siwaoni wachezaji wafuatao kuendelea kubaki Arsenal msimu ujao
Cech
Ramsey
Elneny
Monreal
Jenkinson
Koscienly
Ozil nampa 50/50
Babu mswisi pia ataondoka
Hivyo hapo natarajia tutasajili si chini ya wachezaji watanoView attachment 983504
Sent using Jamii Forums mobile app
Policy ya arsenal ni ile ileUsajili January unakuwaga mgumu sana kupata wachezaji wazuri sokoni, na wanaopatikana wanakuwa na bei kubwa sana.
Mpaka sasa nasubiri kuona ili nijihakikishie kwamba Transfer Policy ya Arsenal ilikuwa rigid kwa sababu ya Wenger au Wamiliki?
Kama Emery atapewa hela ya kutosha kufanya usajili, wamiliki watakuwa wametuthibitishia kwamba Wenger ndo alikuwa mgumu.