Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Policy ya arsenal ni ile ile

Kwasasa arsenal mpaka iingie CL ndio itamwaga hela kwa wachezaj wa £70m na kuendelea

Ila sasa hiv itaendelea kununua wachezaj wa £15-35m

Na hii klabu ilishasema kutokucheza UCL kumeikost,

Ndio maana dirisha lililopita emery alipewa £70m tu



Sent using Jamii Forums mobile app

Hapo ndo shida, Emery ni kocha mzuri, kwa hiyo hapo anatakiwa kupambana na hao hao wachezaji aingie Top 4.

Kama Chelsea wakifanya changes kwenye striking force unaweza kujikuta top 4 haipatikani.

Hapo plans zinakuwa za next season, ambapo pia Man Utd anaingia kwenye battle ya top 4, kusajili ni muhimu aisee, msije fukuza kocha wakati mlimbania resources.
 
ITALY
Vyanzo vya habari za michezo nchini Italy vimeripoti kwamba Arsenal wamekataliwa dau la £ 55m kwa ajili ya kumsajili mshambuliaji wa AS Roma Cengiz Under. Mchezaji huyo anayewaniwa pia na Manchester United, Manchester City, Tottenham hotspurs na Bayern Munchen, amecheza jumla ya mechi 43 na kufunga mabao 10 huku aki assist mara kadhaa tangu ajiunge na miamba hiyo ya soka la Italia mwaka 2017 akitokea klabu ya Basaksehir ya kwao Uturuki. Cengiz Under alikuwa akipatikana kwa £ 45m msimu uliopita na sasa Roma wameongoza thamani yake.


GERMANY
Klabu ya Borussia Dortmund imethibitisha kupitia vyanzo vyake kwamba Chelsea wamefanikiwa kumsajili winga wa timu hiyo raia wa Marekani Christian Pullisic kwa ada ya € 65m. Hata hivyo Pullisic atabakia kwa mkopo hapo hapo Dortmund mpaka mwisho wa msimu na atajiunga na Chelsea wakati wa dirisha kubwa. Pullisic ambaye ni zao la akademi ya Dortmund amecheza jumla ya mechi 115 akifunga mabao 15 na ku assist mara 24...

AROON ze gunaz

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Juve wanamuhitaji ramsey
Screenshot_2019-01-02-16-52-17.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
HABARI KUTOKA KWA ORNSTEIN ....

According to the very reliable David Ornstein ;

• Arsenal have very little money to spend in January with loan deals more likely to happen
• Barcelona midfielder Denis Suarez being monitored.
• Transfer Budget is expected to increase substantially in the summer
• Highly unlikely to recall Nelson or Chambers from their loan spells.
• No indication of Kroenke injecting his own money for player recruitment.
• No major outgoings expected in January
• Arsenal are looking to bring in a Technical Director in January.
• Emery will be given time to implement his vision and mould a squad over several transfer windows, similar to Liverpool's development after Klopp's appointment in 2015.
• Aaron Ramsey will leave Arsenal in summer. He's open to a move in January but Arsenal feels his value to the squad till the end of the season is more profitable than the transfer fee on offer.

[ Source : David Ornstein - BBC Sport ]

afcupdates1-20190102-0001.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
HILI JAMBO NILISHALISEMA HUMU, ARSENAL ITA SPEND MORE MONEY KWENYE TRANSFER PALE TU ITAKAPOREJEA, UCL

Kwasasa Klabu itaongeza mabek labda wawili ,then itapambana kurud UCL , Klabu ilishasema, hela za UCL ndio msaada mkubwa kulipa mishahara mikubwa, maana yule KENGE STAN KREONKE hatoi hela mfukoni kusaidia Usajiri.

Klabu haiwez kuleta mchezaji wa gharama kubwa na umlipe mshahara wa £200-250k per week , wakat huchez UCL

KWASASA Emery anachotakiwa kufanya ni kuhakikisha anatumia rasilimali zilizopo, pia SVEN atamsaidia kuleta wachezaji wazuri kwa bei ndogo ,ambao pia mishahara yao ni kati ya £50-90k per week, huku klabu ikipitia kipind cha mpito kwanza ,

Msimu ujao kuna dili la ADIDAS ambalo ni dili kubwa ukiacha lile la Man u, na chelsea la £75m na 70m .

Pia Emirates wameongeza mzigo .


Kwahiyo , usajiri mkubwa utafanyika summer , pia wachezaji hawa wataondoka

Nacho

Welbek

Neny

Ramsey ,huyu tayar ameombwa na emery aondoke summer

Cech

Ozil 50/50



That’s why Sven Mislintat was brought in and the summer additions of Matteo Guendouzi and Lucas Torreira are a signal of what is to come. Arsenal fans have to accept there will be no more signings of the likes of Alexandre Lacazette and Pierre-Emerik Aubameyang for the time being, certainly not until the club is back in the Champions League.

The extra commercial revenues which will kick in from the summer due to the new Adidas and Emirates deals will help, but they won’t allow Mislintat and Emery to start competing for the likes of the van Dijk’s of this world.

Arsenal need to go down a different route. Mislintat did that successfully while he was at Dortmund and the German club have reaped the rewards of that recently.

In the last 18 months, Dortmund have made around £220 million from the sales of Ousmane Dembele, Aubameyang and Christian Pulisic - three players that Mislintat signed for a combined fee of less than £25m.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Emery press conference: every single word

Chris Harris 01 Jan 2019

Unai Emery was a much happier man after the first game of 2019 than he was after the final game of 2018.

Our head coach guided the team to a much-needed 4-1 win over Fulham on New Year’s Day to keep us in touch with the Premier League’s top four, and he dissected the big talking points shortly after the final whistle.

Here’s a transcript of the press conference:

on the game…
Good evening. We needed to win today. We spoke before in the dressing room about today being one day where we can be consistent here with our results. We knew that today we could win three points and that the three points would give us security in the table. We are behind the first four teams in the table, but we want to continue to be close and maybe in the future we can be in the top four if we take our opportunities.


on Aaron Ramsey…

He worked very well against Liverpool. Today he played 15 minutes and he scored. He helped us protect the confidence and the good result today against Fulham and I want to have this focus from him when he’s playing.

on whether he will stay for the season…
At the moment he’s working with us. I think so, yes.

on the defensive work…


Our challenge now is to improve defensively. What’s the reason? Maybe different things. First, not with every player, we need to defend more than we did today with different injuries. Today’s the first time we could play with Koscielny, Sokratis and Mustafi - and the injury to Mustafi in the first half meant we had to change to four at the back in the second half. But we are very happy with the attacking players scoring lots of goals like today, but we need to take more balance defensively and to improve. It’s one thing for us to work on, to prepare for the second half of the season. We need to do it better in the second half of the season by working with every player in the team tactically - and that’s what we’re going to do.


on the reaction to subbing off Lacazette…


I understand the supporters. I need to do my work. Tactically, we are thinking that in this moment we needed to change to get more balance. Above all else, we know Seri very well and we needed to get a player close to him, to not let him play with the ball very easily. When Aaron Ramsey came onto the pitch, he could do that and can also help us in attacking moments and he scored. The reason for the decision was this and I need to do my work. Every supporter can think different things tactically, but for me today, Lacazette worked very well today, scored and he helped us. His reaction was very positive.


on how good it felt to see Ramsey score…


In my career I’ve also had different moments with these decisions. We also need to have more information to do that and we also need to be very calm in our mind to make these decisions.


on transfers…


It’s not easy to change or improve our team with the possibilities in the transfer market, but the club is working. We are looking at different possibilities. Maybe we can improve in the transfer market if we get the opportunity. Maybe we can sign one or two players, but it’s not easy.

on Gary Cahill…


We didn’t speak about him.


on Mustafi…


It’s a small injury, a small problem. He didn’t feel well after the first half and said for us to change. It’s not a big injury. He wanted to play today to help us, so maybe we can give him a few days rest to help us. Yes [it’s a hamstring].


on Lacazette and Aubameyang playing from the start…..


We played a lot with both. A lot also from the start. It depends on the matches. They’ve played a lot of minutes and I’m very happy with them both. Today the most important thing for us is the victory and that they scored. Ramsey also scored a different player like Xhaka. We need to find the balance tactically with different players
IMG-20181201-WA0021.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
FACT KAMA HIZI NDIO ZINANIPA IMANI KUWA EMERY ATATUVUSHA NA KUTUFIKISHA TUNAPOPATAKA

Emery on fans booing his decision to replace Lacazette
I understand the supporters, but I need to do my work. Tactically we are thinking we need to change for more balance.

We know Seri well, we need a player close to him, not let him play with the ball too easily. I think Ramsey can do that and help us with attacking moments.

I need to do my work. But for me today Lacazette helped us.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Torreira 4-3-3 formation inamsumbua hasa anapochezeshwa kama Right midfielder anakuwa hachezi vzuri pale anapocheza xhaka ndo anatakiwa acheze yeye sasa ila sio anapochezeshwa kwenye hizi gemu 4 zilizopita...anyway tumeanza mwaka na ushindi 4-1 is the perfect results for us next game Blackpool FA cup

Sent using Jamii Forums mobile app

Xhaka yuko katikati yao kwenye hiko kiungo cha 4-3-3 sababu anauwezo mkubwa wa kukaba zaidi ya huyo Torreira
 
Financial report confirms Arsenal fans' worst fears over Stan Kroenke as transfer window opens


Iko kichwa cha hbr naisoma kwa sasa
Dawa ya kumwondoa kroenke ni ile ile iliyotumika kumtoa wenger...simple kabisa
IMG-20190103-WA0011.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Xhaka yuko katikati yao kwenye hiko kiungo cha 4-3-3 sababu anauwezo mkubwa wa kukaba zaidi ya huyo Torreira
Sikweli mkuu, xhaka ndio alifeli hata kwa wenger kwenye swala la DM,

Ndio manaa alipokuja toreira kwa mfumo wa 4-2-3-1

Akicheza DM na kumuacha xhaka apande mbele kunamfanya toreira afanye vzr,

Ila kwa sasa timu inacheza kwa dharula, kwa maana kuna majeruhi ,hivo inabidi muda mwingine utumike 3-4-3 au 4-3-3 ,

Hivo toreira anakuwa hachez kwa uhuru nafas yake ambayo hata kule uruguay anaicheza ,

Emery anatambua hili, ila ni kwa mpito anacheza hapo,

Soon tutakapoleta mabek wakati, tutarud kwenye 4-2'-3-1 ,na atarud kwenye dimba amabalo analitawala daily.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Arsenal boss Unai Emery: We are going to be competitive [against Blackpool]. The priority now is Blackpool.

Q: Have Arsenal bid for Navas?

Unai Emery has confirmed in his press conference that Arsenal have not bid for Real Madrid goalkeeper Keylor Navas. #AFC #NoDeal

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sikweli mkuu, xhaka ndio alifeli hata kwa wenger kwenye swala la DM,

Ndio manaa alipokuja toreira kwa mfumo wa 4-2-3-1

Akicheza DM na kumuacha xhaka apande mbele kunamfanya toreira afanye vzr,

Ila kwa sasa timu inacheza kwa dharula, kwa maana kuna majeruhi ,hivo inabidi muda mwingine utumike 3-4-3 au 4-3-3 ,

Hivo toreira anakuwa hachez kwa uhuru nafas yake ambayo hata kule uruguay anaicheza ,

Emery anatambua hili, ila ni kwa mpito anacheza hapo,

Soon tutakapoleta mabek wakati, tutarud kwenye 4-2'-3-1 ,na atarud kwenye dimba amabalo analitawala daily.

Sent using Jamii Forums mobile app

Point yangu ni nani anastahili kuwepo katikati kabisa kwenye kiungo cha 4-3-3 mimi nikasema navyojua Xhaka ndie anajua kukaba zaidi kuliko huyo Torreira hivyo hiyo nafasi yeye ndio mstahiki

Au wewe wasema kuwa Torreira ndie anajua kukaba kuliko Xhaka?
 
Point yangu ni nani anastahili kuwepo katikati kabisa kwenye kiungo cha 4-3-3 mimi nikasema navyojua Xhaka ndie anajua kukaba zaidi kuliko huyo Torreira hivyo hiyo nafasi yeye ndio mstahiki

Au wewe wasema kuwa Torteira ndie anajua kukaba kuliko Xhaka?
Sio mimi nasema , hata takwimu na uwezo unasema toreira ndio anajua kukaba kuliko xhaka

Msimu uliopita DM wa arsenal alikuwa hapo kati ni xhaka, ndiye alizingua kupita kiasi, had klabu ikarud sokon kutatua tatizo sugu la DM ,

Kwahiyo ukisema xhaka anajua kukaba kuliko toreira unakosea ,

Kuhusu tacling, clearence, aerial duel, n.k xhaka bado kwa toreira, ndio maana kwa kutambua hilo , hata kocha wa uswis huwa anampanga xhaka no 8 ,

Hata wenger alilaumiwa kwa kuwa na kiburi cha kukazania xhaka acheze 6 , DM

Wakat ana mapungufu mengi, ikiwepo kutoa maboko, na kushindwa kufanya clearence

Na mshabiki yeyote wa arsenal alikuwa anatambua tatizo la arsenal la kwanza ni DM, Ndio maana walipokuja kina sven na emery, wameanza na hapo na sasa wanaelekea kwenye nafas za beki,



Sent using Jamii Forums mobile app
 
CHINI YA SVEN MISLITANT SINA HOFU ,

ANATUMIA SOFTWARE MAALUMU KUWAPATA WACHEZAJI WAZURI ,PIA ANAKWENDA KUWAANGALIA UWANJANI, KABLA YA KUNUNULIWA


Three Mislintat signings have generated Dortmund £200m in transfer profits (Dembele, Aubameyang, Pulisic). Shows the quality in his scouting.

Torreira, Guendouzi and Mavropanos cost Arsenal a combined £36.2m. He’s already started to work his magic at Arsenal as well.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom