Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Granit Xhaka yupo chini ameanguka

Physio ameitwa kumuangalia..
 
Thank God Xhaka amenyanyuka na yupo fit kuendelea na game

Dakika zimeenda 45
 
Back up and running.

Lucas Torreira ameingia na kuchukua nafasi ya Shkodran Mustafi na Arsenal wanarudi kwenye mtindo wa "back four" na Ainsley Maitland Niles anaenda upande wa kulia.
 
Fulham wanasmbulia na ngome ya Arsenal imeingiwa hofu!

Dakika imekwenda ya 72
 
Back
Top Bottom