Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

At Emery's press conference where he dismissed talk of a bid from #afc for Keylor Navas. "Not true. We never speak about one goalkeeper because I think - and it’s true - we are very happy with the three goalkeepers we have now. We’ve never spoken about Keylor Navas.”

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wadau nimetoka kucheki mechi ya Vilareal vs Real Madrid. Imeisha kwa draw ya 2-2, bai zote za vilareal akifunga Carzola. Huyu jamaa nilijua majeraha ya mwaka mzima pale arsenal yamemmaliza lakini jamaa yuko njema kabisa. Kama asingeindoka huyu pengine tusingekuwa nafasi tuliyopo. Kimsingi tumepoteza bonge la midfielder na itatuchukua miaka mingi kupata mbadala wake

Hili halina ubishi, jamaa yupo njema sana, ilibid aondoke maana alishakaa arsenal misimu miwil kitandan, tusingeweza kuendelea kumlipa huku hatuna uhakika kama atarud fiti,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acheni masihala hii record ni ngumu kwa epl kuivunja mara ya kwanza asernal ilikuwa inashikilia 44 unbeaten baada ya miaka kama 20 kupita ndipo babu akaivunja ikawa 49 unbeaten,

lile goli la ronney OT manyumbu walibebwa ilibidi iwe 50 unbeaten,ndipo siku nilipolia na kuichukia manyumbu, jinsi kina Webb walivyokuwa wanaibeba
IMG-20190104-WA0014.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hili halina ubishi, jamaa yupo njema sana, ilibid aondoke maana alishakaa arsenal misimu miwil kitandan, tusingeweza kuendelea kumlipa huku hatuna uhakika kama atarud fiti,

Sent using Jamii Forums mobile app
Daah, ila kiukweli sitamsahau kabisa Carzola msimu wake wa mwisho Arsenal. Tulikuwa kwenye form balaa, ika alipopata injury tu, tukaanza kushuka na toka hapo tumeshindwa kurudi top four..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna tetesi kuwa Ramsey kafanya pre-contract na juventus itakayomwingizia €6m kwa miaka 5 na ataondoka January hii.....

Na nimeona barzaghi ametweet kumkaribisha jamaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huku tukifurahia kwa Liverpool kufungwa Jana na hivyo rekodi yetu kubaki imesimama, nataka niwawekee video muone jinsi gani unbeaten yetu ilisitishwa kwa maamuzi ya ovyo kabisa ya Mike Riley. Ile ilikuwa ni worst referee decision kuwahi kutokea hadi leo

Ni mechi ambayo sitaisahau,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Video hiyo hapo. Utaona kabisa manyumbu yaliamua yasicheze mpira bali yawe yanatupiga mateke tu. Referee angekuwa fair walikuwa wale kadi tatu nyekundu mapema. Na pengine unbeaten yetu ingeenda hadi mechi sabin huko. Hapo ndipo chuki za marefa dhidi ya arsenal zilipoanza,had sasa kina mike dean, michael oliver wanafata tu njia hiyo hiyo View attachment VID-20190104-WA0028.mp4

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni €6m per year for 5yrs

Sent using Jamii Forums mobile app

Mbona mpunga wa kawaida sana?Almost €115k per week!siamin kama Arsenal wameshindwa kulipa kiasi hicho?

Anaenda kusugua benchi maana sioni mchezaji ambae anaweza kumueka benchi kwa pale kati Juve na nikiangalia age yake nahisi anaenda jimaliza tu
 
Aron ramsey leo amethibitisha kusain dili na juventus kwa kipindi cha miaka mitano

Ramsey:Nimekuwa hapa kwa kipindi cha miaka 10 nazani hakuna mchezaji ambae amedumu kwa muda kama niliokaa mimi ndani ya arsenal ambae yupo hadi sasa..napenda kila kitu ndani hii klabu nimeanza kucheza timu ya vijana pamoja na kina theo (walcott) oxlade chamberlain hadi kuitwa timu ya wakubwa 2008 nikiwa na miaka 17 hivi sasa nina miaka 27 napenda kuwashukuru mashabiki pamoja na viongozi wa arsenal kwa sapoti yao kwangu
Arsene wenger kwangu ndie mtu nitakae mkumbuka katika maisha yangu yote alinitoa kule kwetu wales had england nikiwa nina miaka 14..Tumekuwa pamoja kwa muda mrefu sana katika furaha na karaha nakumbuka mwaka jana kabla hajaondoka aliniambia nibakie arsenal ili nami niwe legend km denis bergkamp henry na rosicky lakini nasikitika hilo haliwezi kufanikiwa
Nazan kocha wa sasa hv ana falsafa zake ambazo hazinihitaj mimi na baadhi ya wachezaji
Ila mimi nitakuwa balozi wa arsenal na nafikiri ipo siku nitarud tena hapa kwa mara nyingine tena
AHSANTENI
FB_IMG_1546629689527.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Video hiyo hapo. Utaona kabisa manyumbu yaliamua yasicheze mpira bali yawe yanatupiga mateke tu. Referee angekuwa fair walikuwa wale kadi tatu nyekundu mapema. Na pengine unbeaten yetu ingeenda hadi mechi sabin huko. Hapo ndipo chuki za marefa dhidi ya arsenal zilipoanza,had sasa kina mike dean, michael oliver wanafata tu njia hiyo hiyo View attachment 985822

Sent using Jamii Forums mobile app
Daaaah kweli haya marefa ni ya hovyohovyo sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aron ramsey leo amethibitisha kusain dili na juventus kwa kipindi cha miaka mitano

Ramsey:Nimekuwa hapa kwa kipindi cha miaka 10 nazani hakuna mchezaji ambae amedumu kwa muda kama niliokaa mimi ndani ya arsenal ambae yupo hadi sasa..napenda kila kitu ndani hii klabu nimeanza kucheza timu ya vijana pamoja na kina theo (walcott) oxlade chamberlain hadi kuitwa timu ya wakubwa 2008 nikiwa na miaka 17 hivi sasa nina miaka 27 napenda kuwashukuru mashabiki pamoja na viongozi wa arsenal kwa sapoti yao kwangu
Arsene wenger kwangu ndie mtu nitakae mkumbuka katika maisha yangu yote alinitoa kule kwetu wales had england nikiwa nina miaka 14..Tumekuwa pamoja kwa muda mrefu sana katika furaha na karaha nakumbuka mwaka jana kabla hajaondoka aliniambia nibakie arsenal ili nami niwe legend km denis bergkamp henry na rosicky lakini nasikitika hilo haliwezi kufanikiwa
Nazan kocha wa sasa hv ana falsafa zake ambazo hazinihitaj mimi na baadhi ya wachezaji
Ila mimi nitakuwa balozi wa arsenal na nafikiri ipo siku nitarud tena hapa kwa mara nyingine tena
AHSANTENIView attachment 986235

Sent using Jamii Forums mobile app
Sad

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom