Timu inatafuta matokeo kocha anatoa striker anaingiza kiungo anatoa Ozil anaingia iwobi hahahahahahahahaha Karibuni ANFIELD
Migogoro ya kocha na mchezaji mara nyingi huwa haijengi timu, imeanza kwa Ozil na kwa mbali naanza kuona unakuja kati yake na Lacazzete. Madhara yake utajikuta unagombana na timu nzima, kwasababu wataona unawanyima kucheza vizuri kwa kuwapa kucheza na mtu ambaye hatoshi kama aliyepo nje then unawachosha kama timu.. jana kwa mara ya kwanza kaniboa sana kuwatoa hawa jamaa na nilijua kabisa tayari kainyima ushindi arsenal mapema. unatoa wachezaji ambao wanaleta creativity mbele then unaingiza kina Iwobi ambao wanakimbiakimbia tu.
Guendouzi ni tatizo linaloitafuna arsenal taratibu bila wao kujua, kijana ni mzuri ila bado ana mapungufu sana huyu mtu kwenye hii ligi.. hana maamuzi ya haraka kabisa, kifupi ni mzito mno. Tulikuwa na kasi sana mbele kipindi huyu jamaa alipokuwa anaanza benchi lakini tangia awe anaanza mechi arsenal wameanza kuwa kuwa wazito mno. Na tatizo hili limeanza kuonekana tangu tulipocheza na Manchester United na dogo kuanza mechi.
Mkuu naona unawakaba hawa jamaa kam GINI, unawapiga nyaya kama SALAH, unawakamia kama VVDHii team wanacheza kwa maneno ya mdomon lakin kwenye field ni zero kabisa.
Tarh 29 karibun Anfield tuwaonyeshe kazi, hamna kikosi cha kushindana na liver huo ndio ukweli mchungu.
Manatoa draw na Brighton mnajielewa kwel nyie? Kikosi kizima kilipangwa kuanzia Auba, Torori, gazeti, etc sasa sjui mnataka nini
Iwobi leo kawa tatizo kwenye team?maisha yanaenda kwa kasi sana
Mkuu naona unawakaba hawa jamaa kam GINI, unawapiga nyaya kama SALAH, unawakamia kama VVD
walete walete ANFIELD waje na kapu la magoal
Hapana ukweli ndio dawa mzeeMigogoro ya kocha na mchezaji mara nyingi huwa haijengi timu, imeanza kwa Ozil na kwa mbali naanza kuona unakuja kati yake na Lacazzete. Madhara yake utajikuta unagombana na timu nzima, kwasababu wataona unawanyima kucheza vizuri kwa kuwapa kucheza na mtu ambaye hatoshi kama aliyepo nje then unawachosha kama timu.. jana kwa mara ya kwanza kaniboa sana kuwatoa hawa jamaa na nilijua kabisa tayari kainyima ushindi arsenal mapema. unatoa wachezaji ambao wanaleta creativity mbele then unaingiza kina Iwobi ambao wanakimbiakimbia tu.
Guendouzi ni tatizo linaloitafuna arsenal taratibu bila wao kujua, kijana ni mzuri ila bado ana mapungufu sana huyu mtu kwenye hii ligi.. hana maamuzi ya haraka kabisa, kifupi ni mzito mno. Tulikuwa na kasi sana mbele kipindi huyu jamaa alipokuwa anaanza benchi lakini tangia awe anaanza mechi arsenal wameanza kuwa kuwa wazito mno. Na tatizo hili limeanza kuonekana tangu tulipocheza na Manchester United na dogo kuanza mechi.
we nawe sijui hata umetokea wapi liverchipolopoloHii ndio Aseno tunayoitambua! Welcome anfield 29 Dec
usiseme washabiki wa arsenal sema baadhi ya washabiki wa arsenal......kwasababu ushabiki pia umetofautiana,mimi hii timu hata ikishuka daraja nitakuwa nayo kama wale washabiki wa aston villa na newcastle united,ila pia kama shabiki au mpenzi haswaaaaaaaa wa club hawezi furahia negative results ya timu mkuu......so mtu kuzungumzia yale aliyoyaona ni mapungufu na kupendekeza maboresho sio mbaya japokuwa mimi naona ni kazi bure kwani sauti hizi hazisikiki ila kwa upande wake anakuwa ameutakasa moyo wake kwa kutoa dukuduku,cha msingi ni kuwa pamoja tu timu inapopata matokeo yoyote tuisupportWashabiki was arsenal wanajitoa ufahamu Sana mpaka wanakera wanakua positive Sana timu ikishinda mfululizo ikipoteza wanazingua guys acheni hizo huyu mwalimu huu ndio msimu wake wa kwanza hivi kati ya klopp mou na pep yupo kati yao alichukua lig msimu wa kwanza?
sawia mkuu na hii ndio aina hasaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa ya washabiki wa arsenalusijihisi mnyonge arsenal inapita katika mabadiliko makubwa ya uchezaji ndani yatimu,pili wachezaji wengi ni wageni katika kuhimili mikiki ya ligi ya ulaya hata uingereza omba tuingie robo fainali ya ulaya utaona jinsi timu itakavyo anza kijiamini mabadiliko utayaona tatu majeruhi mengi ni kwa wakongwe ambao tulitegemea ndio wangeweza kuwapa ujasiri wegeni vuta subira mambo yanakuja baada ya majeruhi kusimama sawa huku wageni kama unvyo ona wanaanza kutulia katika uchezaji mambo mazuri hayataki haraka
mkuu una moyo kushabikia chelsea hahahahahahahahaHahaha, mnajipa moyo bado? Mna bahati nyieeeeee... Yani jana yenyewe niliamua kuisogeza Tv mbele yangu kabisa kuhakikisha mabao yanaingia na naya-copy na kuja ku-paste hapa. Am in Nairobi on the way to Kampala, najua mnamshukuru Mungu kwa ukungu ule!
DrWHO harudi tena hapa amewakimbia kwa kujua Arsenal kimeo.... Kibunango, wajanja tupo Chelsea, niunge mkono mwana... si unaona alone alone nakomaa nao? Hahaha...
X-mas njema kwa nyote na iwe ya furaha sana kwenu. Sidhani kama nitakuwa online sana, basi Heri ya Mwaka mpya 2007 (kama nitafika).
See you all...
Hater naona mshakuja, ila tambuen ni swala la muda tu, tunarud kwenye njia
Nyie liver pigen kelele , soon mtaporomoshwa tu