Unaweza kutofautisha kati ya kushinda na kuongoza?Ila tumacheza ovyo japo tumeshinda
Mpe heshima kama binadamu mwenzeko,sio kumuita mbwa
Hata mimi nimechukizwa sana na namna ya uchezaji wake, lakini tutafanya nini sasa
Mna dharau sana.Aaaa usipanic sasa
zu
zuwena zubeda amekugonga 2 mtungi UCL
sub ya lacazette sijamuelewa kocha kabisaaaaaa ila all in all tumepata point 1 away sio mbaya kuliko kufungwa kabisa ...tujiandae na safari ya anfield...Washika bunduki jina letu linafifia jaman...
Emery anazid kumuona Lacazete kama bibi ake tu.
Kosa alifanya kocha kumtoa chembers kwa mkoposub ya lacazette sijamuelewa kocha kabisaaaaaa ila all in all tumepata point 1 away sio mbaya kuliko kufungwa kabisa ...tujiandae na safari ya anfield...
sehemu ya ulinzi ndio inayotuangusha sana maana waliokuwepo wote hawana kasi inayokidhi mahitaji kwakweli dahhhhhhhhhh na Shrokodan atarudi baada ya game ya liverpool,,,,,huyu Lichtsteiner kwakweli anazingua sana maana si kwa vicross vile,PEA nae anapoteza nafasi nyingi za kufunga.......
sub ya lacazette sijamuelewa kocha kabisaaaaaa ila all in all tumepata point 1 away sio mbaya kuliko kufungwa kabisa ...tujiandae na safari ya anfield...
sehemu ya ulinzi ndio inayotuangusha sana maana waliokuwepo wote hawana kasi inayokidhi mahitaji kwakweli dahhhhhhhhhh na Shrokodan atarudi baada ya game ya liverpool,,,,,huyu Lichtsteiner kwakweli anazingua sana maana si kwa vicross vile,PEA nae anapoteza nafasi nyingi za kufunga.......
kuna makosa mawili hakika yamefanyika kumwacha chambers kwa mkopo lakini pia kumuuza Gabriel maana jamaa alishaanza kukaa katika njia nzuri dahhhhhhhhhhhhh ila EMERY KNOWSKosa alifanya kocha kumtoa chembers kwa mkopo
lichtsteiner alikuwa kashakojoa mapemaaaaaaaaaaa nashangaa kocha amemwacha mpaka kachomesha sikuona sababu ya ozil kutoka a;afu anamweka maitland ila poa ALUTA CONT.Walikiwa wanagonga mademu zao karbia wote ndo maana leo ilikua ni sindimba tu uwanjan.
Nafuu Laca na iwobi
Shaka na yeye walele kona anachonga utafikili mim.