Kabisa aiseearsenal performance in the second half has been awful, huwezi kutegemea cheap players kama niles, leichstener kuonyesha impact
Ndo hiki sasaMim ninavyojua arsenal ni kipnd cha pili
Hawa watu ukiwawekea hela lazima wakupe homa. Hiki kipindi wanacheza kama kuku asiye na kichwa. Headless chickens kabisa!#COYG
Nimeweka ela kwel
Limenikera kweli japo.mm sio shabiki wa Arsenal. Mzee, mmemtolea wapi huo.mzigo?tazama hilo Mbwa iliyoingia sasa hivi, niles liko hovyo sana
Tumecheza ovyo kuliko uhovyo wenyewe...Tujiandae kisaikolojia dhidi ya Liverpool..mechi ya hovyo kuiona kwenye epl mwaka huu. still I have a question mark over emery performance
Mpe heshima kama binadamu mwenzeko,sio kumuita mbwatazama hilo Mbwa iliyoingia sasa hivi, niles liko hovyo sana
Limenikera kweli japo.mm sio shabiki wa Arsenal. Mzee, mmemtolea wapi huo.mzigo?