Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hivi hili jukwaa la The Gunners au Liverfools. We kiazi mbona unajua ka demu muuza papa. Si ukajadili kablu yako kwenye jukwaa lenu.
Teh teh sijawahi kuogopa kutukanwa na mtu nisie mjua

Usipanik ukipaniki naongeza dozi

HAMJAWAHI KUCHUKUA UEFA na mpaka unakufa hata fainala ARSENAL haito kuja kucheza tena ya UEFA
Timu inafungwa nane ichukue UEFA nakufaa

Afuu tusipangiane pia cha kupost huu ni Ushabiki tu so kitulize
 
kumbe imekuuma sana mkuu, pengine hujui washabiki wenzio wanachofanya kwnye majukwaa mengine. Fresh lakini mchezo hauhuitaji hasira huu
Mkuu huyu hajui kinachoendela
Kuandika yenyewe hajui

Angalia ukimzongazonga sana hachelewi KUJINYONGA
 
hapo unapopaita machinjioni nshakupiga 6 so sidhani kama nina la kuhofia hapo
Mwaka gani ???utasikia 2009

Sasa ww nikikuuliza mara ya mwisho kumfunga liverpool au man u unakumbuka ni ln??

Nimekupiga hapa karibuni sanaa
 
Wakuu mimi naona Mesut Ozil ndio tatizo. Hatufai arsenal
Siku ile anaingia tupo 2-2 na southampton tukaishia kuongezwa cha 3.

Alafu hata kipindi kile washabiki wengi wa arsenal wanamponda yeye anasubilia kupewa tu mpira hawezi kufight wakati hatuna mpira mm naona ni ngumu yeye kujibadilisha.

Asipocheza leo natabir mazur kabisa kwa arsenal yetu.
Hamna mchezaji wa kumpiga bench ozil Arsenal
Jipeni moyo na huyo TORORI wenu
 
Teh teh sijawahi kuogopa kutukanwa na mtu nisie mjua

Usipanik ukipaniki naongeza dozi

HAMJAWAHI KUCHUKUA UEFA na mpaka unakufa hata fainala ARSENAL haito kuja kucheza tena ya UEFA
Timu inafungwa nane ichukue UEFA nakufaa

Afuu tusipangiane pia cha kupost huu ni Ushabiki tu so kitulize
hahahahahaha ila hukumbuki pale nilipokupiga 6 six au SITA ukiwa hapo anfield ila unakumbuka 8 ambazo wewe hukuzishughulikia duuuuuuuuh hatari hii,😛😛😛😛😛🙂🙂🙂🙂🙂

ikifika next week utatimiza miaka 30 bila kubeba ligikuu na huku ukiing'arisha ile rekodi yako ya kutowahi kubeba EPL unashindwa hata na leicester city hahahahahahahahahhahhhhhhhhhhhhhhhhhh wakat mimi nikilibeba mara 3 na man u mara 13 wewe unalitunbulia mimacho tu,sasa hilo ni timu au jumba la makumbusho? karibu GUNNERS katika burudani ya soka mkuu
 
Mkuu wew hujui mpira unavoitaji nguvu nyingi.

Zoezi analopiga Ronaldo linamfanya kuwa star dunia nzima

Siku Ozil skiweza kupiga hata shoot moja zito kana la Ronaldo nitamuita mchezaj bora duniani

Unafikili Ozil anaweza kufikia timbwili la torreira hata kidogo?

Torreira ndo juhud zake kama kina modrich bhana wachezaji bora. Sio huyo Ozil
Hamna mchezaji wa kumpiga bench ozil Arsenal
Jipeni moyo na huyo TORORI wenu
 
Haha unafurahisha sana Ushindi mwingi wenu ulikua kwenye mikono ya huyo kiumbe ukitaka kuamin leta takwimu ya assist zake last season
Mkuu wew hujui mpira unavoitaji nguvu nyingi.

Zoezi analopiga Ronaldo linamfanya kuwa star dunia nzima

Siku Ozil skiweza kupiga hata shoot moja zito kana la Ronaldo nitamuita mchezaj bora duniani

Unafikili Ozil anaweza kufikia timbwili la torreira hata kidogo?

Torreira ndo juhud zake kama kina modrich bhana wachezaji bora. Sio huyo Ozil
 
Mwaka gani ???utasikia 2009

Sasa ww nikikuuliza mara ya mwisho kumfunga liverpool au man u unakumbuka ni ln??

Nimekupiga hapa karibuni sanaa
hahahahaha kwahiyo ikiwa 2009 ndio inatoa uhalali wa hicho kichapo mkuu?mbona wewe bado unajisifia umebeba UEFA na ulilibeba 2005 huko......ushabiki wa mpira wahitaji uvumilivu so tulia hivyohivyo dawa ikuingie,

alafu mambo ya kutafuta huruma kutoka kwa majirani uache wewe ni liverpool hayo ya man u waachie kina radika wayaongelee fact ni kwamba nilikupiga 6 anfield so haijalishi ni mwaka gani ila ni karne hii hii .............hivi wewe unajua kama timu yako mara ya mwisho kuchukua ligikuu ni karne ya ngapi lakini?au unajipigisha kelele tu
 
Man u kabeba mara 20
Liverpool-18

Kingine ????

UEFA mpka dunia inaisha hamtokuja beba mnazidiwa mpk na chelsea ya 2004 hahaha nyinyi huwa wasindikizaji tu UEFA
hahahahahaha ila hukumbuki pale nilipokupiga 6 six au SITA ukiwa hapo anfield ila unakumbuka 8 ambazo wewe hukuzishughulikia duuuuuuuuh hatari hii,😛😛😛😛😛🙂🙂🙂🙂🙂

ikifika next week utatimiza miaka 30 bila kubeba ligikuu na huku ukiing'arisha ile rekodi yako ya kutowahi kubeba EPL unashindwa hata na leicester city hahahahahahahahahhahhhhhhhhhhhhhhhhhh wakat mimi nikilibeba mara 3 na man u mara 13 wewe unalitunbulia mimacho tu,sasa hilo ni timu au jumba la makumbusho? karibu GUNNERS katika burudani ya soka mkuu
 
Haha unafurahisha sana Ushindi mwingi wenu ulikua kwenye mikono ya huyo kiumbe ukitaka kuamin leta takwimu ya assist zake last season
Sikatai mkuu,,

Lakini sio kwa ugumu huu wa ligi ya england kila siku mambo yanakuwa magumu,
Ukibisha kamuulize Mourihno atakwambia

Sasa huyo Ozil sio wakubebea kombe la ligi kwa sasa.

Yuko wapi Giroud ambae pia aliwahi kuwa na magori mengi kuzid mastreker wengine arsenal kwa msimu fulani.
 
hahahahaha kwahiyo ikiwa 2009 ndio inatoa uhalali wa hicho kichapo mkuu?mbona wewe bado unajisifia umebeba UEFA na ulilibeba 2005 huko......ushabiki wa mpira wahitaji uvumilivu so tulia hivyohivyo dawa ikuingie,

alafu mambo ya kutafuta huruma kutoka kwa majirani uache wewe ni liverpool hayo ya man u waachie kina radika wayaongelee fact ni kwamba nilikupiga 6 anfield so haijalishi ni mwaka gani ila ni karne hii hii .............hivi wewe unajua kama timu yako mara ya mwisho kuchukua ligikuu ni karne ya ngapi lakini?au unajipigisha kelele tu
Haha
Unafurahisha fact ni kwamba hutoweza kuifunga LIVERPOOL kwa sasa

2009 mpk leo umri wa mtoto kabisa ambae yupo drs la 4

Man u ni giant club kama ilivyo Liverpool na ndio maana nazihusisha
Maana ukitaka kushinda UEFA lazima uwe na uwezo wa kustahimil pressure ya hizi giant club vinginevyo utakuwa unatusuliwa tu kama wanavyo kufanyagaa
 
Man u kabeba mara 20
Liverpool-18

Kingine ????

UEFA mpka dunia inaisha hamtokuja beba mnazidiwa mpk na chelsea ya 2004 hahaha nyinyi huwa wasindikizaji tu UEFA
wewe jitoe fahamu lakini uzuri wake mimi najua kuwa una akili timamu kabisa ila ukweli ni kwamba timu yako mara ya mwisho kuchukua ligi ni ile karne ambayo vita ya kwanza ya dunia ilipiganwa sasa sijui wewe ulikuwepo ama nini.......................na suala la EPL wewe hujawahi beba na ushahidi upo
 
Sikatai mkuu,,

Lakini sio kwa ugumu huu wa ligi ya england kila siku mambo yanakuwa magumu,
Ukibisha kamuulize Mourihno atakwambia

Sasa huyo Ozil sio wakubebea kombe la ligi kwa sasa.

Yuko wapi Giroud ambae pia aliwahi kuwa na magori mengi kuzid mastreker wengine arsenal kwa msimu fulani.
Ok mkuu naheshimua mawazo yako lkn me OZIL kwangu bado ni dhahabu
 
Ozil kiwango kipo but hakitutoshi.

Unafikil mpira ukitoka nyuma kabla hujafika mbele ni lazima tu upite kwenye miguu yake.
But anabebwa sana.
Hzo pasi ata kichuya anaweza kuzipiga.

Back
Top Bottom