Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mtaanza nyinyi Kuntoa klopp ,maana toka aje hadi msimu huu atatoka kapa,

Unai ndio kwanza msimu wa kwanza, na Top 4 timu itaingia ,

Na silverware moja wapo atabeba ,maana ana kismati cha mataji,

Si unajua amehusika kwenye kumletea klopp njaa ya mataji, akiwa sevilla
The GONO sio sawa na SEVILLA.

The GONO mna hali mbaya akiumia mchezaji mmoja timu yote chini

2-3
2-0
USIJISAHAULISHE vipigo viwili mfuatano hivyo
 
wewe
The GONO sio sawa na SEVILLA.

The GONO mna hali mbaya akiumia mchezaji mmoja timu yote chini

2-3
2-0
USIJISAHAULISHE vipigo viwili mfuatano hivyo
tulia umalize noma yako kwanza na wanaume kutoka wolves
 
The GONO sio sawa na SEVILLA.

The GONO mna hali mbaya akiumia mchezaji mmoja timu yote chini

2-3
2-0
USIJISAHAULISHE vipigo viwili mfuatano hivyo
Wewe unayeshinda ,mbona mwisho wa msimu unamaliza na ZERO trophies, shida nini ,
 
Tulia ww ungekua una tropies kama za liver si ungejisifu ww
liver imebaki kama jumba la makumbusho tu..................hakuna timu pale kazi kujisifia mafanikio ya vikongwe ya karne zilizopita huko ....hivi katika karne hii ya 21 livapulu wameshachukua epl kweli?
 
Una troph gan ww, hivo vibuyu 18 ,hata kuzaliwa ulikuwa bado

Timu toka 2011 mpaka leo ni UKAME
Mwenyew kuchukia EPL mara ya mwisho 2003 chukua na sasa hiv

Mnapigwa 8 mchukue EPL ntajiua
 
Hii timu haikumbuki imeifunga Liverpool au man u mara ya mwisho lini
 
Nyiny mjisifu FA labda ila sio kombe jingine

Hamna kombe jingine la kumuwekea liverpool kifua mbele

UEFA mpk dunia inaisha hamtokuja chukua

Timu inafungwa goal 8 ichukue UEFA nakufaa
 
MAJERUHI:
Mustafi,Bellerin, Mavropanos na Holding hawatokuwepo kwenye mchezo wa kesho
NYONGEZA:
Capt. Koscielny na Kolašinac nao ni hati hati mpaka sasa ni vema tukajiandaa mapema na mtihani wa kesho.
Unai ameshapungukiwa machaguo kwenye backline ivyo unatakiwa tu ununda wa mtaani.
 
Back
Top Bottom