Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,723
Niles na nacho watakuwa wanapandisha mashambulizi na kurudi kukaba as a backArsenal inaanza game na back four lakini mtindo ni 3-4-2-1
Kumchezesha xaka beki sio kitu kizuri kabisaNajua sio rahisi kunielewa, Iwobi anapaswa kuuzwa, ni liability kwenye timu
Kuna analyst mmoja alisema ni bora kumchezesha mchezaji asiyekuwa na uzoefu kwenya nafasi yake ambayo ni natural kuliko kumchezesha mchezaji mwenye uzoefu kwenye nafasi ambayo sio yakeKumchezesha xaka beki sio kitu kizuri kabisa
Anaongoza kelele tu kwenye majukwaa ya watuHahaha AROON nipe takwimu apo tunaongoza ngapi.?