jombaa askari
JF-Expert Member
- Sep 27, 2017
- 494
- 531
Duh! Afadhali...... Nadhani vijana wana uchovu. Waliwekeza nguvu sana ktk game Mbili hizi zilizopita....... Ila na majeruhi ndo wanazidi kuongezeka hope mustafi hatakaa nje kwa muda mrefu sana
COYG!
COYG!
