*Mwalimu Kashasha Akizungumzia Goli la Torreira:*
Pale Guendouzi Ametumia Mbinu Kitaalamu inaitwa Calculated Crossover, Yaani Amempeleka beki kushoto Kwa Mahesabu Makali afu yeye Akapita kulia na kubakia na Njia Nyeupe yaani....a clear path to the Goal... na kuwa Huru Kuchomoka kwa Pace kali sana Yapata 137kph akawatimulia vumbi na Kupiga Cross: Ikaangukia kwa Aubameyang ambaye aliipiga Cross-cut ya juu kupitia Out foot yake na kifanya Lionekane ni jambo Rahisi lakini Huwezi kufanya Vile kama Hauna *Quick thinking, Great body Physique na attacking mind,* ikamkuta Yule kwa Kihispanyola wanamwita *Garra Charrua* Yaani Torreira ambaye Anajipinda na Kupiga kwa Lugha Ya Kitaalamu Tunaiita *Airbone BackPedal Bicycle Kick* ile au kwenye Masumbwi wanaiita *Dancing On the Rope Skill*. Hakika ni Nice Move, Nice Skill at the End nice Job. kwako Jesse[emoji23][emoji23]