jogoo_dume
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 2,204
- 1,939
Dah, dogo alianza kuwa vizuri. Soo sad!
Naomba wachapwe na fimbo 12 wakawasimulie wake zaoNafanya kazi katika ofisi ambayo kuanzia ceos,board of directors,md,deputy officers karibu wote yani can say 95%,ya ofisi ni washabiki wa manyumbu sasa nawatuliza nitakavyo
Tuna game ya ofisi kati wanao hangaika field na ma ofisa wanao kua busy ofisini
Wakasemaje kua Arsenal akipata hata draw nini kushinda yani game ijayo tunacheza mechi yetu tukiwa tumevaa jersey za Arsenal og... Huyo alikua CEO mi nikasema tafadhali uishi maneno yako, akajibu i always do. Nikasema Sawa baada ya mechi kuisha nikasema thank to refa mzee but kiapo kipo pale pale. Unajua katoa mzigo wa watu kumi na saba af wote wanashabikia man u kuzivaa kesho kwenye mechi ya kiofisi af mzigo toka mfukoni kwake...
Sasa mechi kesho leo nasubiri mgao wangu wa jersey. Worse case ni kwamba lazima wavae uzi wetu na ni wanazi haswa wa manyumbu fc
Naomba wachapwe na fimbo 12 wakawasimulie wake zao
Mustafi ni bonge la beki maana ana offer vitu vingi japo ana mapungufu yake ambayo akipata mwenzake makini timu itaacha kuruhusu magoli hovyoComparing Mustafi & Van Dijk in the @premierleague this season.
Mustafi:
Games: 15
Goals: 2
Tackles Won: 21
Interceptions: 31
Clearances: 93
Aerial Battles Won: 58
#AFC
Van Dijk:
Games: 15
Goals: 0
Tackles Won: 13
Interceptions: 16
Clearances: 88
Aerial Battles Won: 68
#LFC StatmanAFC on Twitter
Daaah kweli vjana walijitahidi sana, wanastahili kupata hata hiyo point 1.Unai ni mtu mnabisha hivi yule chief recruit wa arsenal anaitwa nani ujue huyu dogo ni kiboko emb cheki huyo fella alivyo kazanaView attachment 960133
Usiichukulie poa Arsenal angalia hilo jitu linavyokazana bila akiliDaaah kweli vjana walijitahidi sana, wanastahili kupata hata hiyo point 1.
ila saiv siri kubwa ya timu yetu ipo kati. Na timu inakua kwenye balance kama ikiwepo combo ya xhaka+torreiraaaaUsiichukulie poa Arsenal angalia hilo jitu linavyokazana bila akili
Achana na hiyo kitu muweke ozil mix na laca na aubaila saiv siri kubwa ya timu yetu ipo kati. Na timu inakua kwenye balance kama ikiwepo combo ya xhaka+torreiraaaa
Arsenal cannot recall Callum Chambers, 23, from his loan at Fulham despite several injuries to defenders, including Rob Holding being ruled out for up to nine months with a ruptured anterior cruciate ligament. (Evening Standard)5 players Emery can use after Holding injury - including big transfer decision 5 players Emery can use after Holding injury - including big transfer decision
Laurent Koscielny
Koscielny has bene stepping up his comeback (Image: Getty Images)
The most recognisable face of the quintet, the veteran French defender has been stepping up his progress from the serious knee injury he suffered in the summer which saw him miss the World Cup.
At 33 it is doubtful whether he'll ever reach the heights he used to be capable of, be he can be a useful presence around the squad.
Konstantinos Mavropanos
The Greek hasn't played since picking up a red card at Leicester last season (Image: David Price)
The big Greek youngster was a surprise addition into the Arsenal squad in the closing months of Arsene Wenger's reign, and he made his debut against Manchester United at Old Trafford.
He only played in two other matches - getting sent off at Leicester in one of them - before suffering a serious injury, but the 20-year-old is now close to a return.
Zech Medley
Medley is highly regarded by Emery (Image: David Price)
The 18-year-old Medley stands at a giant 6ft 5ins, and he made his first-team debut as a replacement for Holding in the Europa League win at Vorskla last month.
He was also named on the bench for the Premier League victory over Leicester, and is a regular in the under-21 sides that have played in the Checkatrade Trophy.
Julio Pleguezuelo
The Spaniard played 90 minutes against Blackpool (Image: Reuters)
Also able to play at full-back, the Spain under-18 international joined Arsenal from in 2013 having received plenty of football education at Atletico Madrid and Barcelona.
Now 21, he made his one and only Gunners appearance so far in the Carbao Cup win over Blackpool at the end of October.
Calum Chambers
Chambers could be recalled in January (Image: Marc Atkins)
usitoe siri hadharaniila saiv siri kubwa ya timu yetu ipo kati. Na timu inakua kwenye balance kama ikiwepo combo ya xhaka+torreiraaaa
Yaani mchezaji Mali yetu then tusimuite tunapomuitaji?Arsenal cannot recall Callum Chambers, 23, from his loan at Fulham despite several injuries to defenders, including Rob Holding being ruled out for up to nine months with a ruptured anterior cruciate ligament. (Evening Standard)
Hapa tunahitaj KUWA piga nyingi hawaauba na laca
matheo,torreira nd xhaka jaman jaman jaman....unai leo anataka nn huyu???View attachment 960489
Vikosi kama hiv mtu ndio anakula mkono(5)auba na laca
matheo,torreira nd xhaka jaman jaman jaman....unai leo anataka nn huyu???View attachment 960489