Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Na kwa Arsenal fan tunafurah sabubu Arsenal ya jana na Liverpool sio Arsenal ile ya last season walipokutana na Liverpool. So far kwetu tayari inatengeneza picha ya washindani so jitafakari upya kila unapokuja huku.

Last season at Emirates Stadium:

Arsenal 3 - 3 Liverpool

This season at Emirate Stadium:

Arsenal 1 - 1 Liverpool

Kilichotokea Jana sio kitu kipya! Kama Arsenal ya Last Season imebadilika sio hii ya sasa lakini Matokeo Ni yaleyale ya Draw unahitaji kujitathmini upya.

Enewey upo sahihi.
 
Uko sahihi timu yako ya Liverpool itavuna point zote 3 mechi za Nyumbani. Wakati fulani hata draw unaangalia na ubora wa mechi husika na kusifia ikibidi.
 
Last season at Emirates Stadium:

Arsenal 3 - 3 Liverpool

This season at Emirate Stadium:

Arsenal 1 - 1 Liverpool

Kilichotokea Jana sio kitu kipya! Kama Arsenal ya Last Season imebadilika sio hii ya sasa lakini Matokeo Ni yaleyale ya Draw unahitaji kujitathmini upya.

Enewey upo sahihi.
Sisi kwetu ni kipya hasa kwa kocha ambae tunae miezi na kikosi cha pesa madafu
 
Huyo kachukia kupata draw na Gooooner wanadhani Liverpool is the best team now kwamba itashinda tu....
Akienda hivyo ataumia sana binafsi hii game nilitamani sana tushinde sababu ilikua kipimo changu kwa mwalimu lakini sijajiridhisha na matokeo bado nahitaji mechi kubwa nione matokeo yatakuajee
 
Uko sahihi ushindi ni Muhimu. Lakini Fans wengi walidhani Arsenal itakuwa underdog kutokana na usajli uliofanyika. Lakini trend inaonyesha the opposite. Muhimu zaidi ni kupunguza hizi draws....
 
Sure thing but natamani nione Arsenal tena na timu wanazoziita World class unajua namfatilia huyu mwalimu kwa karibu sana nataka niweze kuongea kitu kuhusu mfumo wake game plan na kila kitu. Nataka nimuone sehemu zote angle zote actual ameleta hope flani ila natamani kuona his consistecy toward his revolution

Nahitaji kuona how anarespond akikutana na bigger match unajua mpaka sasa tayari sijajiridhisha... Mfano natamani game ya Sisi na Mancity
 
Si haba kupata point moja japo nilitamani sana tumpige liverpool anyway ngoja tukumbushie some best moments through photo.
_20181104_083822.JPG
_20181104_085046.JPG
_20181104_085119.JPG
_20181104_085143.JPG
_20181104_085210.JPG
_20181104_085232.JPG
_20181104_085254.JPG
_20181104_085318.JPG
 
Ingelileta maana zaidi hapa kama post zenu zingeonesha masikitiko kwanini Mumedraw uwanja wa Nyumbani kuliko kusifia Kiwango kwa Kutoa Sare uwanja wa nyumbani.

Changamoto moja ya timu kubwa ni viwanja vya ugenini kwenye mechi kama hizi.

So, ukidrop points kwenye Home ground Ni tatizo kwa Timu kubwa Kwani ukienda Away usidhani kuwa Utaperform kama Nyumbani.
Sisi tunacho jivunia ni progress tunayo ionyesha toka tuliko kua na tulipo sasa, mabadiliko n makubwa ata ww umeyaona. Timu ina fight mpaka mwisho sio kama zama za mzee wenger so tuna jivunia hilo.
 
*GAME YA ARSENAL VS LIVERPOOL*

Mechi ilikuwa Very Tactical Kuanzia Dakika ya Mwanzo wa Mchezo Hadi Mwisho

*Arsenal* Walikuwa Vizuri Sana Kwenye Kuanza Mipira Nyuma na Kupiga Pasi za Haraka Pamoja na Kupitia Pembeni

*Saed Kolasnac na Héctor Belerin* Wameongeza Strength Katika Eneo la Mashambulizi ya Kupitia Pembeni

Mohamed Salah,Sadio Mane na Roberto Firminho Walikuwa ni Hatari Sana Kwenye One Against One,Mipira ya Kupitishwa na Break Through

Kwangu Mimi *Vrijl Van Dijk* Beki wa Kati wa Liverpool Ndio Kikwazo Kikubwa Cha *Arsenal* na Kwangu Mimi Ndio Mchezaji Bora Katika Mechi Hii.

*Substitution* ya *Saed Kolasnac* Kuingia *Dany Welbeck* Timu ilicheza ikiwa na Mabeki Halisi Watatu Nyuma Wakiwa na *Backup* ya *Iwobi Upande wa Kulia na Lucas Torreira Katikati* na Hata *Subscription's* ya *Xhedan Shaquir* ilikuwa ni Kwa Lengo la Kumbana *Saed Kolasnac* Asishambulie Upande wa Kushoto na *Emery* Alifanya Uamuzi wa Kumtoa *Saed Kolasnac* Kwa Lengo la Kuongeza Watu Katika Eneo la Katikati ya Uwanja na Pia Aliona Balance ya Liverpool ni Ndogo Katika Kukaba Eneo letu la Ulinzi Kutokana na Kumtoa *Roberto Firminho* Ambaye Kiuhalisia Yeye ni Natural Central Striker

Nilitoa *Makadirio* Madogo ya Ushindi wa *Arsenal* Hapo Jana Kutokana na Changamoto ya *Majeruhi* Katika Eneo la Mabeki wa Pembeni.

Binafsi Naheshimu sana UNAI EMERY ni Master wa Tactics na Nawapongeza Arsenal Wenzangu Wote kwa Kuiunga Mkono Timu ya Arsenal

Timu Yetu ina Imarika Kila Kukicha na Liverpool Ndio Timu Tishio zaidi EPL na Naamini Kwa Uwezo Huu Tutavuna Point Nyingi Katika Mechi zinazokuja Dhidi ya *Manchester united,Chelsea,Spurs,Watford,Liverpool na Tottenham*
 
Ingelileta maana zaidi hapa kama post zenu zingeonesha masikitiko kwanini Mumedraw uwanja wa Nyumbani kuliko kusifia Kiwango kwa Kutoa Sare uwanja wa nyumbani.

Changamoto moja ya timu kubwa ni viwanja vya ugenini kwenye mechi kama hizi.

So, ukidrop points kwenye Home ground Ni tatizo kwa Timu kubwa Kwani ukienda Away usidhani kuwa Utaperform kama Nyumbani.
Arsenal fans are not celebrating a draw, they’re celebrating a change in mentality and that we’re already competing only 6 mths into Emery’s reign as manager, Liverpool and Klopp have had 3 seasons, 6 transfer windows, and over £300m spent on players, pretty simple lads
 
*GAME YA ARSENAL VS LIVERPOOL*

Mechi ilikuwa Very Tactical Kuanzia Dakika ya Mwanzo wa Mchezo Hadi Mwisho

*Arsenal* Walikuwa Vizuri Sana Kwenye Kuanza Mipira Nyuma na Kupiga Pasi za Haraka Pamoja na Kupitia Pembeni

*Saed Kolasnac na Héctor Belerin* Wameongeza Strength Katika Eneo la Mashambulizi ya Kupitia Pembeni

Mohamed Salah,Sadio Mane na Roberto Firminho Walikuwa ni Hatari Sana Kwenye One Against One,Mipira ya Kupitishwa na Break Through

Kwangu Mimi *Vrijl Van Dijk* Beki wa Kati wa Liverpool Ndio Kikwazo Kikubwa Cha *Arsenal* na Kwangu Mimi Ndio Mchezaji Bora Katika Mechi Hii.

*Substitution* ya *Saed Kolasnac* Kuingia *Dany Welbeck* Timu ilicheza ikiwa na Mabeki Halisi Watatu Nyuma Wakiwa na *Backup* ya *Iwobi Upande wa Kulia na Lucas Torreira Katikati* na Hata *Subscription's* ya *Xhedan Shaquir* ilikuwa ni Kwa Lengo la Kumbana *Saed Kolasnac* Asishambulie Upande wa Kushoto na *Emery* Alifanya Uamuzi wa Kumtoa *Saed Kolasnac* Kwa Lengo la Kuongeza Watu Katika Eneo la Katikati ya Uwanja na Pia Aliona Balance ya Liverpool ni Ndogo Katika Kukaba Eneo letu la Ulinzi Kutokana na Kumtoa *Roberto Firminho* Ambaye Kiuhalisia Yeye ni Natural Central Striker

Nilitoa *Makadirio* Madogo ya Ushindi wa *Arsenal* Hapo Jana Kutokana na Changamoto ya *Majeruhi* Katika Eneo la Mabeki wa Pembeni.

Binafsi Naheshimu sana UNAI EMERY ni Master wa Tactics na Nawapongeza Arsenal Wenzangu Wote kwa Kuiunga Mkono Timu ya Arsenal

Timu Yetu ina Imarika Kila Kukicha na Liverpool Ndio Timu Tishio zaidi EPL na Naamini Kwa Uwezo Huu Tutavuna Point Nyingi Katika Mechi zinazokuja Dhidi ya *Manchester united,Chelsea,Spurs,Watford,Liverpool na Tottenham*

Nataka Niwaangalie Kama ule ugonjwa Wa Man United bado mukalinao manake Hata muwe wazuri vipi basi kwa Man United huwa kama muliorogwa.
 
Ni kukariri tu, maana man u huwa hachez kabisa kwa arsenal kama msimu uliopita game nzima ana defense ,

Napiga shut on target 14 ,

Na nashangaa mnaosemaga hivo, msimu wa juz nimempiga hapo OT FA robo, kwenye lig anakula 3-0

Ni kwel huwa ananisumbua lkn sio ki mpira ni kupaki bas sana,

Ni sawa na mech yenu ww na man u, mimi huwa siamin kama anawasumbua ila huwa anafanya kile kile anachokifanya kwa arsenal,

Kubaki nyuma kusubiri miujiza ,
 
Na kwa Mourinho basi kwa Mimi (Liverpool) na wewe (Arsenal) tujiandae kisaikolojia manake atahiari acheze mabeki 10 kamili lakini tusimfunge.
 
Timu nzima imecheza vzuri sana Nimekuwa nikimpondaga sana Xhaka ila kiukweli leo amecheza vzuri sana amenifurahisha kila mtu kacheza vzuri...mdogo wangu Rob Holding sijui analekea level gani ya beki sio mbaya kuchukua point 1 coz liverpool nao ni timu nzuri...tuombee majeruhi wetu warudi haraka...hope tutaendeleza huu moto next games...Unai Emery bonge la kocha aisee ingekuwa wenger hii tungelala sio chini ya goli 3 ntakuwa mchawi nisipomtaja Torreira yeye na xhaka wamechezs vzuri mno wamewaficha yule mholanzi na fabinho...mustafi solid performance leo safi sana leo katakata Bellerin katakata leo Ozil na Laca na wengine Leno wamecheza vzuri sana saves kali sana leo za Leno simwoni cech kwenye hii timu tena january tuongeze winga kwanza.
Nakumbuka nilikuamvia Cech harudi tena kama first choice, Leno anatosha sana golini, yupo composed sana, anacheza na miguu vizuri na reflex nzuri tu.

Cech abaki veteran tu kuongeza ujuzi.

Midfield ya Torreira na Xhaka ni solid sana, huyu Toreira ndio mchezaji arsenal-fc walimhitaji mda mrefu.

Binafsi left back ina shida naona, labda kwa vile Saed alikuwa majeruhi kwa mda mrefu, lakini tunamkosa sana Nacho, januari ni vizuri kuangalia upande wa beki ya kushoto.

Rob anaonyesha kuwa sasa hata Laurent anaweza kuuzwa(he's 33 hivyo akiwa hapo ni experience tu) ila nguvu za kucheza competetive football game 50 kwa msimu hawezi.
 
Kweli kuhusu morden football ,leno yupo vzr sana hasa mipira kuanzia nyuma kwenda katikati na kutengeneza mashabulizi,

Toreira huyo ni mtu hatar sana,

Mimi naweza kusema Wenger hii misimu miwili ya mwisho alikuwa na kikos bora kushinda hiki cha UNAI,

Shida ya wenger alikuwa mbishi akiamini XHAKA NI DM, kitu ambacho sikweli,

Kwakikos kile cha wenger alihitaji mtu mmoja tu TOREIRA,

Kuhusu beki za pembeni ,tayari Unai ameshaanza kumfatilia beki wa ajax yule muargentina kama suluhisho la bek 3 maana nacho majeruhi na umri umeenda

Kos 6 kashatoa statement huu ndio msimu wake wa mwisho , Japo aston villa wanamuhitaji

Holding kafanya kazi nzuri, sijawahi kuwa na shaka na huyu dogo, toka aliponikabia costa mwanzo mwisho Fainal ya FA cup
 
Msimu huu Lacazzate naye amekuwa aggressive zaidi. Ozil kiwango chake huwa kinabadilika kulingana na mechi. Wakati mwingine yuko slow mno...
 
Back
Top Bottom