Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,723
Mwana kunywa bia hapo ulipo nalipa kwa mpesa huku nilipoNimeshuhudia mazoezi ya Arsenal na kwa kweli siku za mwishomwisho za Arsene Wenger hakukuwa na ari yoyote ya kutafuta ushindi.
Yaani wachezaji walifanya mazoezi kwa mazoea na wakati mwingine wachezaji hao walikuwa wakichelewa kuingia mazoezini na hata wakiwa kwenye mazoezi walikuwa kila mtu akijifanyia mazoezi yake anavyofahamu yeye mwenyewe.
Unai Emery aliposaini tu mkataba akaanza kulishughulikia hili tatizo akaweka na gym kabisa (pitch-side gym) katikati ya uwanja na kuwa anakusanya data za kila mchezaji na namna anavvofanya mazoezi yaani performance index.
Moja ya matatizo makubwa ya wachezaji yalikuwa ni uzembe na watu kama Mesut Ozil alikuwa akionekana kabisa anafanya uzembe kiasi cha kulaumiwa na watu wengi.
Lakini kumbe kulikuwa na vitu kama vile uzito wa mwili na ujazo wa nyama mwilini ambapo Emery aliangalia na kuhakikisha vitu hivyo vinapunguzwa na matokeo yake sasa hivi Arsenal inacheza kwa kasi zaidi na wachezaji wengi wanaonekana ni wepesi kwenye kukimbia yaani "sprinting"
Arsenal imeonyesha mabadiliko lakini bado sehemu ya ulinzi ina tatizo kwani tunahitaji beki mshahara wa uhakika.
Huyu mtu ni machine anakaba na anapiga pasi balaa!Torreira really is a class act, changed game again when he came on with his intensity and forward passes.
He made 43 passes whilst playing only 32 minutes, compared to Elneny’s 27 in 58 minutes. #AFC #COYG #SPOARSView attachment 911107
Ila leno yupo comfortable sana na footwork.Cech has not travelled to Portugal . Would appear to indicate Leno will start against Sporting and Cech is in line to play at Crystal Palace on Sunday.
McDonaldJr upoWamefuta comments zao ndefu wasubiri next time,game 11 tunawapiga tu wapinzani naamini wanatamani kusema neno ila wanaona aibu.
Leno anaweza kuchukua mikoba na Neuer Ujerumani kama ataendelea hivi kwenye klabu yake. Tatizo Unai anaweza kumrudisha Cech akipona, ila Leno yupo vizuri sana.Ila leno yupo comfortable sana na footwork.
Cech anarud golin game ya palace,Leno anaweza kuchukua mikoba na Neuer Ujerumani kama ataendelea hivi kwenye klabu yake. Tatizo Unai anaweza kumrudisha Cech akipona, ila Leno yupo vizuri sana.
McDonaldJr upo
Inatia moyo sana unajua nilikua naadisiwaNipo ndugu tunaendelea kuangalia maendeleo ya timu kwa sasa.
Cech anarud golin game ya palace,
Bado.leno anajifunza vitu vingi kwa cech,
Leno atadaka sana tu, bado ana umri mdogo,
Inatia moyo sana unajua nilikua naadisiwa