Ndoto ya asubuhi hii. Ila kila mmoja anayo haki ya kutoa maoni yake haata yakiwa fake Kama ya wale majamaa wa majogoo.Target ni kushinda game 30 toka time zote zilizo nnje ya top 5 na bahati Mbaya fulham wako kwenye hiyo bracket wataponaje sasa.
Pia tutapiga mkubwa mmoja season hii. Na sare kadhaa za hao wakubwa kisha mengine tutaongea mwisho wa msimu.
90 point kutoka kwa hao 15 na chavhe kutoka kwa wakubwa.
Epl inaweza angukia home kama utani
️
️
️
️Safi sana..tulimisi hizi moments!!FT
Fulham 1-5 Arsenal
Moja wapo ni mfungaji makiniHivi Kuna anayeweza Kunipa Concrete reason Kwanini Kocha wenu Katika FXI Kamueka Juu Aubamyang ?
Fulham 1-3 Arsenal
Rambo...️
Dakika 68
Duh hili goli ni hatari sana lilivyotengenezwa.