Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Henrikh Mkhitaryan kuikosa mechi ya kesho dhidi ya Qarabag Fk katika michuano ya Uefa Europa league.
Mkhitaryan ambaye ni raia wa Armenia ataikosa mechi hiyo kutokana na mzozo ulipo baina ya nchi yake (Armenia) dhidi ya Azerbaijan inapotoka timu hiyo ya Qarabag Fk. Serikali ya Azerbaijan amepiga marufuku raia kutoka Armenia kuingia nchini Azerbaijan ingawa marufuku hiyo haiwazuii wachezaji wa michezo kutoingia nchini humo,Henrikh Mkhitaryan aliuambia uongozi wa arseanal kwamba hatosafiri na timu kutokana na mzozo uliopo baina ya nchi hizo mbili.
Chini vijana wakianza safari kuelekea nchi Azerbaijan kuikabili Qarabag Fk #COYG#
_20181003_113749.JPG
_20181003_113819.JPG
 
Naona mmembahatisha mnyonge.

Msiombe mje kukutana nasi baada ya hatua hii ya makundi.
 
Back
Top Bottom