Teamanaconda
JF-Expert Member
- Jun 21, 2013
- 602
- 567
Hongereni sana Arsenal,hivi ndio inatakiwa sio kocha mpya anakuja kwenye timu anaanza kuleta habari za nipeni muda natengeneza timu,timu ni matokeo uwanjani kama hivi,habari za kutengeneza nenda katengeneze magari