Naona kama wamejifunga au?
Naona kama wamejifunga au?
Kwa mchina ndo uwanja wa taifa?Afadhali tutalala japo safari bado ndefu, sasa masikio na macho yote tunayaandaa kwa ajili ya kesho kwa mchina
Mkuu ndo hivoKwa mchina ndo uwanja wa taifa?
Troy Deeney hoi, sisi tunasonga mbele...
Deeney ni Shabiki wa Arsenal damu, kuna kipindi cha AW alitarajia kusajiliwa na Arsenal, but deal halikuwezekana. Na pia mtoto wa Deeney ni Arsenal damu. So ni hasira tu......last week aliponda Welbeck kuitwa timu ya Taifa na yeye kuachwaYule mtoto sijui tumemkosea nini kikubwa maana game zetu anaanza kwa kututukana alafu uwanjani anakaza utadhani mashine.