Mbushuu
JF-Expert Member
- Aug 3, 2011
- 2,180
- 3,419
Henry alikuwa anapenda sana magoli ya kudokoaJamaa amenikumbusha enzi za Thierry Henry kwa hili goli 🙂.
Henry alikuwa anapenda sana magoli ya kudokoaJamaa amenikumbusha enzi za Thierry Henry kwa hili goli 🙂.
Unavyojua kuwaponda wenzio utafikiri Liverpool yako ni nzuri sana wakati mbele ya Leicester city mlitaabika sanaHongereni sana Arsenal
W is W haijalishi imepatikana vipi
Lkn mkicheza na Majogoo mtafungwa easy sana,hamna team pale
Sent using Jamii Forums mobile app
W is WUnavyojua kuwaponda wenzio utafikiri Liverpool yako ni nzuri sana wakati mbele ya Leicester city mlitaabika sana
E&K
Thank you Sir! 😎😎View attachment 854994
Unai anatakiwa kutengeneza combo ya Auba na Laca mara zote wakianza pamoja kuna kitu kinafanyika angalau tunawafanya mabeki wa wapinzani wawe busy.
Kabisa kabisa, hata Ozil naye, kwa kweli Emery kama anataka mabadiliko lazima awa ditch hawa wazembe...Cech na Xhaka hawatakiwi kabisa kuanza labda uko Carabao sio kwenye ligi.
Ni muda sasa wa Auba ku-roll-up his sleeves kama amepoteza confidence ivi ni vema Unai akamuamini Torreira kwa sasa dogo analeta balance ya team kuliko maelezo.
Possession Cardif 15-85 Arsenal alafu tunashinda 3-2 huu ni aina fulani ya uwendawazimu,bado tunaamini kwenye kumiliki ila hakuna mipango kwenye final 3rd,so far tuna spirit ya kupambana mpaka mwisho katika kutafuta matokeo na pia kuna lil' bit pressing style ambayo Unai ameileta tunashukuru kwa hili.
3 Pts ugenini ni muhimu sana inaleta faraja tunaenda kwenye International break kwa amani tuombe wote warudi bila majeraha....️
The Best FIFA Football Awards
- FIFA.com
Goli la Mo Salah dhidi ya Everton lipo kati ya magoli yanayowania tuzo ya FiFA ya Puskas pia Salah anawania tuzo ya Mchezaji Bora wa Kiume wa FIFA 2018.
Mashabiki wote wa Liverpool na wapenda mpira wa ukweli fuata link hii kisha chagua Mo Salah. Anaejua mpira anastahili![]()
![]()
The Best FIFA Football Awards
- FIFA.comView attachment 855896
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii inaitwa HENRIESQUE.
Hii inaitwa HENRIESQUE.
Naona bwana mdogo juhudi zake zinambeba, tungepata kama hawa watano (5) timu yetu ingebadilika sana manake dogo ana spirit kubwa ya kupambana.Arsenal's POTM (August)
View attachment 848157
Full name: Arsenal Football Club
Nickname(s): The Gunners
Founded: 1 December 1886
League: Premier League
Website: arsenal.com
View attachment 848163
Ground: The Emirates Stadium, (Capacity: 59,867) - Pitch 105m x 68m
View attachment 848363
Owners: Stan Kroenke na Alisher Usmanov
View attachment 848173
Chairman: Sir John Chippendale "Chips" Lindley Keswick
View attachment 848348
Head Coach: Unai Emery
Arsenal Trophies:
League Tittles: 13
First Division/Premier League Champions: 13 (1930/31, 1932/33, 1933/34, 1934/35, 1937/38, 1947/48, 1952/53, 1970/71, 1988/89, 1990/91, 1997/98, 2001/02, 2003/04)
European Trophies: 1
UEFA Cup Winners': 1 (1993/94)
FA Cup Trophies: 13 (1929/30, 1935/36, 1949/50, 1970/71, 1978/79, 1992/93, 1997/98, 2001/02, 2002/03, 2004/05, 2013/14, 2014/15, 2016/17)
League Cup: 2 (1986/87, 1992/93)
Community Shield: 15
FA Charity Cup/FA Community Shield: 15 (1930, 1931, 1933, 1934, 1938, 1948, 1953, 1991, 1998, 1999, 2002, 2004, 2014, 2015, 2017)
Other Trophies
League Centenary Trophy: 1 (1988)
Inter-Cities Fairs Cup: 1 (1969/70)
View attachment 848415Follow this thread for team updates!
Arsenal Football Club celebrate as they Crowned The Emirate FA Cup Winners(2017)
Good for the lad. Tunataka vijana wenye spirit ya huyu dogo.Arsenal's POTM (August)
Ukiangalia umri wake na passion yake kwenye football basi natamani akina Hector na Iwobi wangekua na hamu na mpira kama uyu dogo.Good for the lad. Tunataka vijana wenye spirit ya huyu dogo.
Wee nawe tatizo ushindi mlioupata juzi ule wa taabu sana utadhani kocha mgeni kumbe mwenyeji. Na safari hii mkikutana na arsenal lazima mle kichapo mark my words maana timu ya arsenal inabadilika kila wakati.Hongereni sana Arsenal
W is W haijalishi imepatikana vipi
Lkn mkicheza na Majogoo mtafungwa easy sana,hamna team pale
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii hii 3-2 na Cardiff au ipo Arsenal ingine?Wee nawe tatizo ushindi mlioupata juzi ule wa taabu sana utadhani kocha mgeni kumbe mwenyeji. Na safari hii mkikutana na arsenal lazima mle kichapo mark my words maana timu ya arsenal inabadilika kila wakati.
Tena nakwambia kakojoe ulale kabisa arsenal ya sasa inatisha.
Absolutely...Ukiangalia umri wake na passion yake kwenye football basi natamani akina Hector na Iwobi wangekua na hamu na mpira kama uyu dogo.