Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Torreira alitolewa jana sababu ya majeruhi kwenye game yao na Mexico,so far sina taarifa sahihi ameumia kwa kiwango gani,nachukia sana hizi International break.
IMG_8642.JPG
 
Ukisikia tu International break basi lazima ujiandae na machela sijui kwa nini BTW umemuona Xhaka alivyo mpuuzi yaani timu ya Taifa amekaza na kaupiga mwingi mpaka nimejiuliza au anatufanyia kusudi
Hata mimi niliwasaidia kuwaza, kama sio yeye vile. Au siri ni kufanywa captain??!
 
Hata mimi niliwasaidia kuwaza, kama sio yeye vile. Au siri ni kufanywa captain??!

Inawezekana pia kile kitambaa kilimpa hamasa ila duh mpaka nikapata hasira kua uyu anatuhujumu akirudi gheto,recently jamaa amekua chanzo cha matatizo kwenye eneo lake la kiungo unaweza kuhisi katumwa na Wenger.
 
Wakuu hivi swala la Ivan Gazidis our c.e.o kuhusishwa na kwenda ac milan mnalichukuliaje?
 
Naona bwana mdogo juhudi zake zinambeba, tungepata kama hawa watano (5) timu yetu ingebadilika sana manake dogo ana spirit kubwa ya kupambana.
Shida yenu ni beki na kwenye ushambuliaji hapajakaa vizuri
Katikati sina mashaka na nyie
 
Back
Top Bottom