Cech na Xhaka hawatakiwi kabisa kuanza labda uko Carabao sio kwenye ligi.
Ni muda sasa wa Auba ku-roll-up his sleeves kama amepoteza confidence ivi ni vema Unai akamuamini Torreira kwa sasa dogo analeta balance ya team kuliko maelezo.
Possession Cardif 15-85 Arsenal alafu tunashinda 3-2 huu ni aina fulani ya uwendawazimu,bado tunaamini kwenye kumiliki ila hakuna mipango kwenye final 3rd,so far tuna spirit ya kupambana mpaka mwisho katika kutafuta matokeo na pia kuna lil' bit pressing style ambayo Unai ameileta tunashukuru kwa hili.
3 Pts ugenini ni muhimu sana inaleta faraja tunaenda kwenye International break kwa amani tuombe wote warudi bila majeraha....️
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.