Ila naona sababu ya mpira m'bovu ni kwakuwa timu ilikuwa ina pressure kubwa sana na hii ni kwa sababu ya kutofanya vizuri kwa mechi za mwanzo,ila tukishinda game mbili tatu naamini tutakaa sawa.Mechi 3 tulizocheza ya leo ilikuwa mbovu kuliko zote. Kwa mpira huu tusitarajie top 4
Ni lazima uwe ushindi wa tabu kwa ligi ya uingereza. Timu unazoona vibonde man akakaa man city kaishia sare tena akitokea nyuma. Angalia liver nyumbani pale pale wamenusurika hakuna kibonde uingereza.FT
Arsenal 3-1 WHU
Alhamdullilah leo tunapata ushindi wa kwanza ingawa ni kwa tabu sana ila muhimu ni hizi pointi 3.
mkuu tumeshinda, bila shaka team tunayo 😛😛..,Mkishindwa tena leo basi team hamna
E&K
Khe khe khe khe khe 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣.....naona na ninyi mmefufuka. Ligi imeanzaEPL hatari sana yaani imewafanya mashabiki wa Manure wamekua wapole kuliko maelezo wakati walikua wanajazana kwenye thread yetu na maneno ya kashfa leo kimyaaa wananyukana wenyewe kwenye uzi wao.
Nimewafuata huko huko nimewapa vidonge.Niliweka kambi kule kabla ya game yao na baada ya game ili kumaliza umbea wangu. Na bado tutaheshimiana tu.EPL hatari sana yaani imewafanya mashabiki wa Manure wamekua wapole kuliko maelezo wakati walikua wanajazana kwenye thread yetu na maneno ya kashfa leo kimyaaa wananyukana wenyewe kwenye uzi wao.