kodian
JF-Expert Member
- Nov 27, 2015
- 977
- 1,106
Fundi wa mkonge labda
shululu kumbe we ni arsenal its a football mkuu! either you win, draw or loose! ilikuwa battle ya magoli ya magoli mengi kama ilivyotabiriwa, na ushindi ungeweza kwenda upande wowote, ushauri kwa emery awanoe vijana, nafasi walizopaisha iwobi na auba tungeongea mengine leo!
Uonavyo wewe ni sahihi but sisi tumeona changes kubwa na itashinda mfululizo mno wala hamtaamini. Kocha hawezi kupanga timu kiholela kwanza bado anazisoma na timu pinzani.Arsenal sheikh ni yule yule mmebadilisha kanzu tu. Mpare ni yule yule, katoka Msofe kaja Mchome.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yule fundi umemuacha Gundozi subiri yajayo ni mazuri kuna mtu atakuja kula saba.Dogo Gendouzi leo nimemkubali. He’s a diamond in the rough
Huyo dogo ni bonge la kiungo muda utaongeaDogo Gendouzi leo nimemkubali. He’s a diamond in the rough
Okay mwache andelee kuzisoma team pinzani. Pindi akimaliza kuzisoma league imeisha yupo nafasi ya kumi. Wenzao walishamaliza topic zote yeye bado ndio anatafuta madesa. Shauri yenuUonavyo wewe ni sahihi but sisi tumeona changes kubwa na itashinda mfululizo mno wala hamtaamini. Kocha hawezi kupanga timu kiholela kwanza bado anazisoma na timu pinzani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Watu wamemponda Iwobi lakini ndiyo kafunga na kutoa assist ya goli lingine japo kakosa magoli mengi akipaisha.Kocha anahitaji muda, hizi mechi mbili tulizocheza bado sio kipimo halisi cha kocha. Natumai mwalimu ameyaona mapungufu ya timu yake kuliko mimi na wewe ambao hatuna taaluma hiyo ya mpira hivyo atayafanyia kazi.
Apewe muda tuUonavyo wewe ni sahihi but sisi tumeona changes kubwa na itashinda mfululizo mno wala hamtaamini. Kocha hawezi kupanga timu kiholela kwanza bado anazisoma na timu pinzani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Uonavyo wewe ktk mechi tano za mwanzo atamaliza hiyo kazi. Kuanza kufungwa siyo tatizo tatizo ni kuendelea kufungwa kila mechi.Okay mwache andelee kuzisoma team pinzani. Pindi akimaliza kuzisoma league imeisha yupo nafasi ya kumi. Wenzao walishamaliza topic zote yeye bado ndio anatafuta madesa. Shauri yenu![]()
![]()
Sent using Jamii Forums mobile app
Lacazatte,aubemayang,mkhitaryan na ozil wakikaza timu ipo safi hata mech ya city hizo njemba zungekuwa makin mambo yangekuwa tofaut sijui kwa nini wanakuwa wazembeUonavyo wewe ktk mechi tano za mwanzo atamaliza hiyo kazi. Kuanza kufungwa siyo tatizo tatizo ni kuendelea kufungwa kila mechi.
Sent using Jamii Forums mobile app