Guasa Ambonii
JF-Expert Member
- Aug 13, 2015
- 8,545
- 10,296
Poleni sana ndio mchezo huo
Nafasi tulizozipoteza ndio zilizotufungisha kwa asilimia kubwa .. Anyway kuna matumaini fulani nnayaona ktk hii timu. Wachezaji wana kitete . After 1 or 2 wins watatulia na kucheza vizuriMsajilini Titus Bramble atawamalizia tatizo lenu
Hii mechi ya leo mngepata hata point moja kama nafasi za kipindi cha kwanza mnezitumia vizuri na beki yenu ingekomaa
Mustafi ni zaidi, angalia vizuri wanavyojipangaMgiriki Sokratis ndiye anayeifanya defense kuwa mbovu sio Mustafi. Kwa maana nyingine Mustafi na Sokratis hawaelewani.
Kwa anaejua Mpira Basi anajua wazi Kuwa Arsenal Haipo Vibaya Bali Mechi ilizoanzanazo tu Ni Mechi Kubwa vs Man City & Chelsea.
Natanguliza shukrani kwanza kwa kunipatia point tatu. Bado nazisubiri za EmiratesNyie vibonde wangu wazima. Jmosi mjiandae kwa kipigo kingine
Kwema mkuu.?Itakuwa battle ya magoli mengi, chelsk wajiandae kwa kipigo!
Mechi ndo zinaondoka hivyo.Kwa anaejua Mpira Basi anajua wazi Kuwa Arsenal Haipo Vibaya Bali Mechi ilizoanzanazo tu Ni Mechi Ngumu vs Man City & Chelsea lakini Naamini After these tough Fixtures basi Timu itakaa sawa.
Mkuu baada ya ratiba kutangazwa wengi tulijua haya ndio yatakuwa matokeo. Hata hivyo ukiangalia jinsi Arsenal walivyocheza leo utajua hakuna tofauti kubwa kati yao na Chelsea. Chelsea walikuwa clinical kuliko Arsenal, ingawaje Arsenal wwalipata nafasi nyingi za kufungaKwa anaejua Mpira Basi anajua wazi Kuwa Arsenal Haipo Vibaya Bali Mechi ilizoanzanazo tu Ni Mechi Ngumu vs Man City & Chelsea lakini Naamini After these tough Fixtures basi Timu itakaa sawa.
Mkuu baada ya ratiba kutangazwa wengi tulijua haya ndio yatakuwa matokeo. Hata hivyo ukiangalia jinsi Arsenal walivyocheza leo utajua hakuna tofauti kubwa kati yao na Chelsea. Chelsea walikuwa clinical kuliko Arsenal, ingawaje Arsenal wwalipata nafasi nyingi za kufunga
Morata kakufanya nini leo.?Chelsea hii ya Morata sahau kuifunga Arsenal Nyie ni wateja tu na Mtaendelea kua Wateja,
Toka Fainal ya Fa mwaka Juzi Mnaabika tu ni Mwendo wa kutafuta droo na kupokea Vipigo na leo jiandaeni kisaikorojia
Mtafutieni Babu Yenu sigara nyingi Sana za kupunguza Machungu ya kipigo.
Sent using Jamii Forums mobile app