Kizazi Cha Gerrard Kwenye Timu Alikuwa na Striker Owen, Halafu akaja Torres, Halafu Akaja Balloteli, Halafu akaja Benteke.
Lakini Salah ana Strong Force ya Mane na Formino.
Gerrard likuwa na Beki Hypia, Carragher, Skirtel, Kagriakos na Kolo Toure.
Lakini Salah ana VVD
Gerrard Alikuwa na Shit Kipa Reina na Mignolet.
Lakini Salah ana Alisson.
Mabeki Wa Pembeni Ni Manyago wote aliocheza nao Gerrard.
Lakini Salah ana Talented TAA na Robertson .
Viungo aliocheza nao Gerrard walikuwa Wazuri Ni Mascherano na Alonso tu lakini Hakukaa nao Kwa Muda Mrefu.
Bali Salah Ana Wazuri Zaidi Keita na Fabinho wakiwa na Wasaidizi Gini na Milner
Gerrard Kacheza na Makocha Wakawaida Sana.
Salah anacheza na Kocha Mbunifu
Sasa Hapo Timu Tuliyonayo Usijaribu Kuifananisha Na Magarasa aliyochezanayo Gerrard.