Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,481
- 27,185
Yaani keita na fabinho unawafananisha na xabi alonso na javier mascherano katika ubora wao hahahahahahah kweli wewe mpira umeujulia katika play station...........acha matusi
Heri Mimi Niliyeujua Mpira Play Station Kuliko Wewe uliyeujua JamiiForum....
Unachojua Wewe Mpira Ni All about Chenga tu na si jengine Kwasababu Umeibuka Kutoka Chandimu.
Ninaposema Mido ya Sasa Ya Fabinho na Keita Ni Bora Kuliko ya Mascherano na Alonso jua Kama Mimi uelewa wangu Wa Mpira Ni Tofauti na Wako unaeamini Kiwango Cha Mchezaji Mmoja Mmoja Kuliko Teamwork....
Mimi Nazungumzia Complete Midfield na Sizungumzii Namba 6 na 8 kama ulivyofahamu wewe...
Nilichokiongelea hapo Kwamba Mido ya Kina Fabi & K8 Ni bora Kuliko ya Msc & Als Nazungumzia Complete Midfield yao Ni si viwango vyao Binafsi Kwani Ninajua Kuwa Masc Alikuwa Bora Kiuwezo Kuliko Fabi.
Bali Ni Kwamba Complete Mido ya Kina Alonso ilikuwa iko hivi Mscherano-Alonso-Gerrard-Maxi Rodriguez-Kuyt....
Lakini Hii yakina Fabinho iko hivi Fabinho-Keita-Henderson/Milner-Salah-Mane...
Sasa hapo Sijui umekurupuka Kutoka Kutoka Toilet gani ukaamua Kuandika Pumba.
LAKINI SIKULAUMU! NIMESHAFAHAMU KUWA NYINYI WAPENZI WA CHANDIMU MULIKARIRISHWA KUWA MIDFIELDERS NI NAMBA 6 NA 8 TU. Ndiyo mana ukaona Ni ALONSO & MASCH vs FABINHO & KEITA.
Jifunze Mpira kwanza, then jifunze Kumquote mtu.

️