Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

IMG_7975.JPG
 
Sajilini tu jiwekeni fiti kwa vichapo vya kila kona [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hivyo vichapo vinakuhusu??????
Vya prisizoni?
Ligi kuu vipi kila msimu mwanzoni mnakuwa fiti gari ikichanganya vilio kwenda mbele [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Vya prisizoni?
Ligi kuu vipi kila msimu mwanzoni mnakuwa fiti gari ikichanganya vilio kwenda mbele [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Acha Historia Tuna Unai subirini maumivu
 
Game imeisha Arsenal 2 vs Lazio 0

Kwa kifupi game imekuwa mzuri kdg japo kuna ukosefu wa muunganyiko kutokana na wachezaj kadhaa kuwa hawana fitness!

Xhaka Torreira na Liechtenstein bado wameonekana hawaendani na kasi ya wachezaj wenzao ambao wapo takriban mwezi sasa!
Bado mfumo umewasumbua namna ya kucheza kwa kutoka nyuma kutokana na kuwa mazoezini kwa siku 4 tu.

Mohammed elneny na pamoja na mattéo guendouzi hawa wameonesha uelewano mkubwa kwenye kiungo uku Mesut ozil akiwa anakuja kukaa juu yao na kuanzisha somo la mathematics ambalo ww ulifeli shuleni.

Lacazette na Aubameyang
Hawa jamaa bado wanaonesha dhahiri kbsa kuwa wanahitaj kuwa pamoja ila kuleta magoli msim ujao!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom