McDonaldJr
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 6,386
- 7,561
Fungeni nafsi zenu kwa misimu mingine mitatu labda ndo mtaanza kupata matokeo mazuri.
Imeshakuwa ana ana ana do sasa. Wakishindwa hapo watakwenda kwa Moyes, Pardew, Big Sam, etc. Arsenal let's go
Ukijumuisha na ubakhili wa muwekezaji wenu na kutokuwa mtu wa mpira mfunge nafsi tu kwakweliUmenena swahiba kwa EPL ilivyokaa inabidi tuwe tu wavumilivu kwa misimu kadhaa ndoto ya kubeba ile ndoo iwe sio ya kuiamini.
ushasikia Arteta yumo kweye list ya warithi wa AW hata sijui wanatumia vigezo gani mpaka yule swahiba nae awe kwenye list.
Hahahaha wee jamaa utakua unaishi mochwari..mana sio kwa ujasiri huoNeema inakuja arsenal and next season timu itatisha mno.Kuna makocha watakimbia msimu ujao baada ya ujio wa kocha mpya arsenal maana wataogopa kuumbuliwa.
Ujasiri ni ushindi.Sasa ikiwa timu ina striker ana mechi kumi tu ana magoli mengi 13 kuliko mastreka wa timu zenu waliokaa msimu mzima hata nusu hawana unategemea vp akikaa msimu wote.Hahahaha wee jamaa utakua unaishi mochwari..mana sio kwa ujasiri huo
Yaani pale anahitajika kocha mkuda na mnoko ile mbaya, legelege wote tupa kule...dah maana ......ila nafikiri neema inakuja tuondoe mashaka naamini atakayekuja hatotembelea nyota ya mzee,mimi nilitaka kocha mkalimkali na kauzu kwelikweli yani awe na hamasa ya kutosha sio kama babu ...yaani tungepata aina ya kina klopp,simeone,gattuso,(djuma masoud)
Lete matokeowenger leo anaaga kwa kichapo yaani katika game ngumu za leo basi ni hii ya aseno na huddersfield kwani jamaa wanashika nafasi ya 4 kutoka chini ni kufungwa kwao itakuwa sio vizuri
Neema inakuja arsenal and next season timu itatisha mno.Kuna makocha watakimbia msimu ujao baada ya ujio wa kocha mpya arsenal maana wataogopa kuumbuliwa.
UKICHEKI KWA MAKINI HUYU AUBA KAMA ATACHEZA MSIMU UJAO KWA KIWANGO HIKI HAKIKA YEYE ATABEBA TUZO ZOTE ALIZOBEBA SALAH MWAKA HUU........STATISTICS ZAKE NI NZURI SANA KWANI ANAWAZIDI KARIBIA WASHAMBULIAJI WOTE KATKA LIGI KIUHALISIAUjasiri ni ushindi.Sasa ikiwa timu ina striker ana mechi kumi tu ana magoli mengi 13 kuliko mastreka wa timu zenu waliokaa msimu mzima hata nusu hawana unategemea vp akikaa msimu wote.
Angalia jumla ya magoli ya Abu na aliyofunga Martial msimu wote au Rooney.
Ancelotti anakwenda Napoli while Sari huenda akatua ChelseaTHOMAS TUCHER ametangazwa rasmi kuwa kocha mpya wa PARIS SAINT GERMAN
ROBERTO MANCINI nae amepewa kandarasi ya miaka miwili kuinoa timu ya taifa ya ITALY, hili jambo linaashiria jambo jema kwetu kwani linamuweka karibu mzee CARLO ANCELOTTI ambaye alikuwa katika listi ya makocha wanaowaniwa na GUNNERS lakini akawekwa pending kutokana na yeye kuwa miongoni mwa watu waliotumainiwa kuchukua kikosi cha AZZURI lakini kutokana na nafasi hiyo kuwa tayari imeshapata mtu anarudi tena katika listi yetu,
HUYU BABU NAE YUPO VIZURI KUTOKANA NA REKODI YAKE NA UZOEFU ALIONAO
MUDA HAKIMU MZURI,TUSUBIRIAncelotti anakwenda Napoli while Sari huenda akatua Chelsea
Na Arsenal haihitaji kocha mzee kama Ancelotti ambaye ameshashinda kila kombe,Arsenal inahitaji kocha kijana ambaye ataweza kujenga timu ya muda mrefu,Tuchel au Jardim walikuwa the best option kwa Arsenal.Tuchel akiwafundisha Mikhi na Auba kule DortmundMUDA HAKIMU MZURI,TUSUBIRI
Sikubaliani na wewe mkuu. Kwa kipindi hiki Arsenal inahitaji kocha mzoefu atakayeirudisha (a) katika top 4 (b)kugombania ubingwa sio mambo ya kujaribu jaribu. Kocha mzoefu kama Ancelotti ataweza kushawishi wachezaji wazuri kuhamia Arsenal na wengine kubaki Arsenal. Ukileta kocha sijui bwana mdogo atakuwa na wakati mgumu kumanage na kucontrol egos in the dressing room. Kumbuka ktk soka au michezo mingine hakuna plan ya kuwa na kocha for a long term. Makocha wote waliokaa ktk timu for a long time walikaa kwa sababu ya mambo mazuri waliyoyafanya sio ilikuwa plan from the beginning. Mfano Sir Alex inasemekana ilikuwa kidogo atimuliwe then akawin kombe la kwanza, wakampa trust. Isingekuwa hivyo angeshatimuliwa. Kifupi ni kuwa kukaa kwa kocha kwa muda mrefu ktk timu ina involve trust aliyopewa na board na mafanikio yake wakati akiwa kitini.Na Arsenal haihitaji kocha mzee kama Ancelotti ambaye ameshashinda kila kombe,Arsenal inahitaji kocha kijana ambaye ataweza kujenga timu ya muda mrefu,Tuchel au Jardim walikuwa the best option kwa Arsenal.Tuchel akiwafundisha Mikhi na Auba kule Dortmund
Tuchel & Jardim wanaweza kuifikisha Arsenal top 4 ,Ancelotti hana njaa ameshinda almost kila kitu na ameshafundisha ligi kubwa zote (Italy,England,France,Spain & Germany) ni pia rekodi yake sio nzuri kwenye domestic league.Sikubaliani na wewe mkuu. Kwa kipindi hiki Arsenal inahitaji kocha mzoefu atakayeirudisha (a) katika top 4 (b)kugombania ubingwa sio mambo ya kujaribu jaribu. Kocha mzoefu kama Ancelotti ataweza kushawishi wachezaji wazuri kuhamia Arsenal na wengine kubaki Arsenal. Ukileta kocha sijui bwana mdogo atakuwa na wakati mgumu kumanage na kucontrol egos in the dressing room. Kumbuka ktk soka au michezo mingine hakuna plan ya kuwa na kocha for a long term. Makocha wote waliokaa ktk timu for a long time walikaa kwa sababu ya mambo mazuri waliyoyafanya sio ilikuwa plan from the beginning. Mfano Sir Alex inasemekana ilikuwa kidogo atimuliwe then akawin kombe la kwanza, wakampa trust. Isingekuwa hivyo angeshatimuliwa. Kifupi ni kuwa kukaa kwa kocha kwa muda mrefu ktk timu ina involve trust aliyopewa na board na mafanikio yake wakati akiwa kitini.
kwahili haupo sahihi mkuu ukisema kuwa ANCELOTTI ameshiba mafanikio dah hiyo ndio nakusikia wewe ,unasemaje maneno kama hayo katika dunia hii ya marekodi kila mtu anataka kuweka rekodi kubwa isiyofikiwa na wengine ili awepo katika vtabu vya kumbukumbu ya vizazi kwa vizazi............na ukisema mzee hayupo vizuri katika domestic league unamaanisha yupo vizuri katika international league eg. UCL e.t.c na sisi ndio njaa yetu hiyo so bado naona point zako hazijawa na mashiko........kikubwa tuangalie nani atakuwa selectedTuchel & Jardim wanaweza kuifikisha Arsenal top 4 ,Ancelotti hana njaa ameshinda almost kila kitu na ameshafundisha ligi kubwa zote (Italy,England,France,Spain & Germany) ni pia rekodi yake sio nzuri kwenye domestic league.
Ancelotti ni kocha wa budget kubwa kitu ambacho Arsenal hawawezi kumpa hela but Allegri,Jardim na Tuchel sio makocha wanao hitaji budget kubwa