Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Solution ya matatizo ya Arsenal ni kubadilisha kocha ,mtafute kocha mwenye mtazamo mpya
 
do you mean JUANDE RAMOS???SERGIO RAMOS sio right back wa real madrid?

Ur right buddy! Ninaimanisha huyo Juande Ramos (Juan de la Cruz Ramos Cano) aliyetaka ishusha Tottenham. Atafaa sana Arsenal ama wakikosa kabisa wamchukue Martin Jol
 

Manda....Wenger kutolewa kafara haikwepeki...Ni uzembe wake pamoja na kutokuwa na mbinu za ushindi ndo kumepelekea timu kufika hapo ilipo(we fikiria mechi ya jana kamuingiza RVP dakika ya 90......ili afanye nini sasa...Pia kasumba yake ya kung'ang'ania wachezaji wa kifaransa ndo inapelekea awalete Ashburton Grove wachezaji wabovu na wazembe kama akina Silvestre,Diaby and the likes)........Hana sera aondoke

Halafu,hebu tuwekane sawa kidogo(for the record);
Kuhusu hiyo attachment yako...umekosea,hukupaswa kuwaweka Arsenal hapo,timu ambayo mpaka jana ilikuwa kwenye title race...hapo ulitakiwa kuwaweka Liverpool(hawajawahi kuchukua ubingwa wa EPL tangu mfumo wa ligi ubadilishwe),Tottenham,Man City n.k....Hao Chelsea wenyewe ukiangalia records utaona kwamba kabla ya kuchukuliwa na Roman mara ya mwisho kuchukua ubingwa(wakati huo ilikuwa ligi daraja la kwanza) ilikuwa ni msimu wa mwaka 1954/55......Wamekuja kuchukua tena ubingwa msimu wa mwaka 2004/05(miaka 50 baadaye) kisha wakachukua tena msimu wa 2005/06 wakiwa chini ya 'The special one',Jose Mourinho..

Kwa mujibu wa takwimu za FA,timu inayoongoza kwa kuchukua ubingwa wa EPL ni Man Utd(mara 11),wakifuatiwa na Arsenal(mara 03) kisha Chelsea(mara 02) na mwisho Blackburn Rovers(mara 01)

Ukichanganya EPL na ile iliyokuwa English First Division league kwa The Big Four Timu zinazoongoza kwa mafanikio ni kama inavyoonekana hapa chini:

1.Manchester United mara 18(First Division mara 07 na EPL mara 11)
2.Liverpool mara 18(First Division mara 18,EPL mara 00)
3.Arsenal mara 13(First Division mara 10,EPL mara 03)
4.Chelsea mara 03(First Division mara 01,EPL mara 02)

So si vema kuwadharau Arsenal kiasi hicho bana.........Watendee haki.......Hata kama ni chuki hii inakuwa imepitiliza:becky::becky::becky:
 
Its unfair to compare between The Kop & The Gunners.Kop wanaongoza kuchukua EPL na wanaongoza kuchukua Champs League hapo England

Kop hawajawahi kuchukua EPL bana...wamechukua First Division League mara 18...EPL imechukuliwa na Man Utd,Arsenal,Chelsea na Blackburn Rovers basi......Vipi wanaowalinganisha Chelsea(waliochukua EPL na First Division League mara 03) na Arsenal(waliochukua EPL na First Divison League mara 13)????????.
 
Sergio Ramos is jobless at the moment......Arsenal give him a go.....teh teh teh teh

I should go for Frank Rijkard,Ronald Koeman or Luis Van Gaal.......Arsenal wanafaa kuwa na kocha wa Kidachi
 
ATTENTIONπŸ˜›olice are looking for a cleaner at Emirates Stadium who opened their trophy cabinet and let out a cloud of dust that closed all UK airports and parts of Europe..anyone with info report to the nearest Police Station.
 
ATTENTIONπŸ˜›olice are looking for a cleaner at Emirates Stadium who opened their trophy cabinet and let out a cloud of dust that closed all UK airports and parts of Europe..anyone with info report to the nearest Police Station.

Unataka kununua vita ukimtegemea sheikh yahaya?
 
ATTENTIONπŸ˜›olice are looking for a cleaner at Emirates Stadium who opened their trophy cabinet and let out a cloud of dust that closed all UK airports and parts of Europe..anyone with info report to the nearest Police Station.

"The suspect, BwabWacha1, of Hackney, has been arrested this evening and charged over severe public disturbance and............."

source: London Evening Standard
 
Naona wana Arsenal mmeamua kulisusa na jukwaa kabisa........hahaaaaaaaaaaaa.acheni hizo bana...Njooni tuendeleze libeneke hapa....Mbu,Baba Mkubwa,Ng'wanza Madaso,Arsene Wenger,Kweli,Radical,Mpiga Filimbi,Wacha,Wacha 1,BAK,Shadow na wengine mu wapi???????,rudini kundini bana......
 

Hahahahaha! Huu ni MSIBA WA TAIFA..!!!!!πŸ˜›ainkiller:πŸ˜›ainkiller:
 

mkuu tutaongelea nini? hapa tusubiri man city waje tutarudi zaidi ya hapo tutaumiza kichwa tu humu.
 

...Worry you not Soldier, we were licking our wounds wakati huo huo tukichonga makali ya Jumamosi.

Arsenal hatuna historia ya kufungwa mfululizo, Jumamosi tunahamishia kilio Manchester City!

Come on you Gunners...

TOGETHER WE STAND!!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…